CS Ch. 5a Flashcards Preview

Swahili > CS Ch. 5a > Flashcards

Flashcards in CS Ch. 5a Deck (22):
1

She will help me sew a gown.

Atanisaidia kushona gauni.

2

Sewing Machine

Cherehani

3

She has a sewing machine?
Yes, she has one.

Ana cherehani?
Ndio, anayo.

4

Do you like these clothes?
Yes I like them.

Unapenda mavazi haya?
Ndio, nayapenda.

5

I don't like this style.

Sipendi mtindo huu.

6

Meet Sandy, my wife.

Kutana na Sandy, mke wangu.

7

What type of fabric are you looking for?

Unatafuta kitambaa cha namna gani?

8

Do you have batiks?
Yes, we have them. They are by the door.

Una batiki?
Ndio, tunazo. Zipo karibu na mlango.

9

You did not see them (batiks)?
I will show you.

Hukuziona?
Nitakuonyesha.

10

One loaf of bread is enough.
Two loaves of bread is enough.

Mkate mmoja unatosha.
Mikate miwili inatosha.

11

This Visitor

Mgeni huyu

12

These Visitors

Wageni Hawa

13

This Book

Kitabu Hiki

14

These Books

Vitabu Hivi

15

This Letter

Barua Hii

16

These Letters

Barua Hizi

17

This Mango

Embe Hili

18

This Loaf

Mkate Huu

19

These Loaves

Mikate Hii

20

She cut herself with this knife.

Alijikata kwa kisu hiki.

21

Did you buy any oranges?
Did you buy these oranges?

Ulinunua machungwa?
Uliyanunua machungwa haya?

22

Craft Store

Duka la Sanaa