Edward 11 Flashcards Preview

Swahili > Edward 11 > Flashcards

Flashcards in Edward 11 Deck (28):
1

I did not just finish writing the report

Sijamaliza kuandika ripoti

1

To be happy

Kufurahi

2

What was the problem?

Shida ilikuwa nini?

3

You did not just cook the meal

Hujapika chakula.

4

He did not just return to greet us.

Hajarudi kutusalamia.

5

We did not just see each other again

Hatujaonana tena

6

You plural did not just do a good job.

Hamjafanya kazi nzuri

7

They did not just go home

Hawajaenda nyumbani

8

The guest did not just drink hot chai.

Mgeni hajakunywa chai moto (Kenya)
Mgeni hajanywa chai moto (Tz).

9

I did not help patients

Sikuwasaidia wagonjwa

10

You did not visit Nairobi before coming here

Hukutembelea Nairobi kabla ya kuja hapa

11

She did not walk slowly

Hakutembea pole pole

12

I will not wake up early tomorrow

Sitaamka mapema kesho

13

You will not treat the patient again

Hutamtibu mgonjwa tena

14

She will not drink chai tomorrow

Hatakunywa chai kesho

15

We will not see each other again

Hatutaonana tena

16

You plural will not rest much

Hamtapumzika sana

17

They will not give patients medicine

Hawatawapatia wagonjwa dawa

Kupatia - to give

18

Negative of

I work every day

Mimi sifanyi kazi kila siku

19

Negative of
You greet us every morning

Wewe hutusalamii kila asubuhi

20

Negative of

She eats cake every week

Yeye hali keki kila siku

21

Negative of

Alyson goes to RVA every week

Alyson haendi RVA kila wiki

22

Negative of
We talk together about work all the time

Sisi hatuongei pamoja kuhusu kazi wakati wote

23

Negative of
You plural play ping pong every weekend

Nyinyi hamchezi ping pong kila wikendi

24

Negative of
They come here every month

Wao hawaji hapa kila mwezi

25

Negative of
Kyle and Alyson see each other every year

Kyle na Alyson hawaonani kila mwaka

26

Negative of
I am cold

Si baridi

Ni baridi

28

To enjoy

Kufurahia