KIU A Flashcards Preview

Swahili > KIU A > Flashcards

Flashcards in KIU A Deck (26):
0

I live in Kijabe but now I am staying in Dar Es Salaam.

Ninaishi Kijabe lakini sasa ninakaa Dar Es Salaam.

1

I like to learn Swahili but I am having some trouble.

Ninapenda kujifunza Kiswahili lakini ninapata shida kidogo.

2

Wake up (command).

Amka.
Amkeni.

3

Think (command)

Fikiri.
Fikirini.

4

Listen (command)

Sikiliza
Sikilizeni.

5

She was angry yesterday.

Jana, alikasirika.

6

What did you (plural) learn last week?

Wiki iliyopita, mlijifunza nini?
Wiki jana, mlijifunza nini

7

Where were you staying in 2002?

Mwaka elfu mbili na mbili, ulikaa wapi?

8

Culture

Utamaduni

9

Vocabulary

Msamiati

10

He knows how to cook ugali.

Anajua jinsi ya kupika ugali.
Anajua namna ya kupika ugali.

11

I can ride a bicycle.

Ninaweza kupanda baiskeli.
Ninaweza kuendesha baiskeli.

12

They ate with hands but I ate with a knife, fork and spoon.

Walikula kwa mikono lakini nilikula kwa kisu, uma na kijiko.

13

When did you write the letter to your friend?

Lini ulimwandikia barua rafiki wangu?

14

I bid goodbye.

Niliaga.

15

They will not have a party tomorrow.

Hawatakuwa na sherehe kesho.

16

My paternal aunt is a doctor.
My maternal aunt is a doctor.

Shangazi yangu ni daktari.
Mama yangu mdogo ni daktari.

17

My maternal uncle is a pilot.
My paternal uncle is a pilot.

Mjomba wangu ni rubani.
Baba yangu mkubwa ni rubani.

18

Which year were you born?
(Reply) It was 1970.

Ulizaliwa mwaka gani?
Ilikuwa 1970.

19

How long will you be working?

Utafanya kazi muda gani?

20

How long until we finish?

Muda gani mpaka tutamaliza.
Muda gani mpaka tumalize.

21

What day is tomorrow?

Kesho itakuwa siku gani?

22

What day was yesterday?

Jana ilikuwa siku gani?

23

How do you spell "..."?

Unaandikaje "..."?

24

Notebook

Daftari

25

Which city do you come from?

Unatoka jiji gani?
(Reply) Ninatoka jimbo la Virginia karibu Washington.