KIU F Flashcards Preview

Swahili > KIU F > Flashcards

Flashcards in KIU F Deck (39):
1

What sickness do you have?
I have a stomach ache.

Unaumwa nini?
Ninaumwa tumbo.

2

Do you have diarrhea?
No I do not have diarrhea.

Unaharisha?
Hapana, siharishi.

3

Are you vomiting?
No I am not vomiting.

Unatapika?
Hapana, sitapiki.

4

Do you have a fever?

Una homa?

5

Do you feel dizzy?
No, I do not feel dizzy.

Unaona kizunguzungu?
Hapana, sioni kizunguzungu.

6

Are you coughing?

Unakohoa?

7

You will be sent to the ward and you will be admitted.

Utapelekwa wodini na utalazwa.

8

I am sending you to the ward to be admitted.

Ninakupeleka wodini kulazwa.

9

I need to test your heart.

Ninahitaji nipime moyo wako.

10

I will give you pills.

Nitakupa vidonge.

11

You will be given pills.

Utapewa vidonge.

12

I am needed at the hospital.

Ninahitajiwa hospitalini.

13

The nurse will give you an injection.

Muuguzi atakupa sindano.

14

You will be given an injection.

Utapewa sindano.

15

I was helped by the nurses.

Nilisaidiwa na wauguzi.

16

The nurses helped me.

Wauguzi walinisaidia.

17

What problem do you have?
I am very sick doctor.

Una shida gani?
Ninaumwa sana, daktari.

18

Children greeted us.

Watoto walitusalimia.

19

We were greeted by the children.

Tulisalimiwa na watoto.

20

The child was born last year.

Mtoto alizaliwa mwaka uliopita.

21

Food was eaten by the students.

Chakula kililiwa na wanafunzi.

22

Mouse was caught by the cat.

Panya alishikwa na paka.

23

Patient is being sent to the hospital by the doctor.

Mgonjwa anapelekwa hospitalini na daktari.

24

My car has broken down.

Gari langu limeharibika.

25

The driver hit that person.

Dereva amemgonga mtu yule.

26

That person was hit by the driver.

Mtu yule amegongwa na dereva.

27

The thief was caught by the police.

Mwizi amekamatwa na polisi.

28

Grandpa selected this car.

Babu alichagua gari hili.

29

This car was selected by grandpa.

Gari hili lilichaguliwa na babu.

30

The house was cleaned by her parents.

Nyumba ilisafishwa na wazazi wake.

31

The child was taken to school by her father.

Mtoto alipelekwa shuleni na baba yake.

32

This door was broken by my child.

Mlango huu umevunjwa na mtoto wangu.

33

My child broke this door.

Mtoto wangu amevunja mlango huu.

34

The children were given food by the guest.

Watoto walipewa chakula na mgeni.

35

The guest gave children food.

Mgeni aliwapa watoto chakula.

36

The book was read by the student.

Kitabu kilisomwa na mwanafunzi.

37

My mother washed the clothes.

Mama wangu alifua nguo.

38

The clothes were washed by my mother.

Nguo zilifuliwa na mama wangu.

39

The house was built by the experts.

Nyumba ilijengwa na mafundi.