Lesson 19: Household Chores and Daily Activities Flashcards Preview

Kiswahili > Lesson 19: Household Chores and Daily Activities > Flashcards

Flashcards in Lesson 19: Household Chores and Daily Activities Deck (43):
1

fua nguo

wash clothes

2

kamua nguo

rinse clothes

3

kausha nguo

dry clothes

4

pakua chakula

serve the food

5

pasa nguo

iron clothes

6

piga pasi

iron

7

pika chakula

cook food

8

safisha chumba

clean the room

9

tandika kitanda

make the bed

10

kuamka

to wake up

11

kuosha uso

to wash the face

12

kuoga bafuni

to take a shower

13

kula chakula cha ashubuhi

to eat breakfast

14

kula chakula cha mchana

to eat lunch

15

kula chakula cha jioni/usiku

to eat diner

16

kupiga mswaki

to brush the teeth

17

kwneda darasani

to go to class

18

kusoma historia

to study history

19

kulala

to sleep

20

kuenda michezoni

to go play sports

21

kukimbia

to run

22

kufanya mazoezi

to exercise

23

kuenda kazini

to go to work

24

kuenda filamuni

to go to a movie

25

kuenda makatabani

to go to the library

26

kuenda dukani

to go to the store

27

kuenda sokoni

to go to the market

28

kufanya kazi ya nyumbani

to do homework

29

kuenda mkutanoni

to go to a meeting

30

kuenda kanisani

to go to church

31

kuenda karamuni

to go to a party

32

kustarehe/kupumzika nyumbani

to rest at home

33

kuona televeisheni

to watch television

34

kufanya marudio

to do a review

35

kuenda mkahawani

to go to a restaurant

36

kupiga chapa

to type

37

kupiga picha

to take a picture

38

kupiga simu

to make a call

39

piga deki

mop the house

40

panguza meza

dust the table

41

panga nguo

arrange clothes

42

piga huva

vacuum clean

43

chemsha chai/chakula

boil tea/food

Decks in Kiswahili Class (92):