Lesson 39: Nge & Ngali Flashcards Preview

Kiswahili > Lesson 39: Nge & Ngali > Flashcards

Flashcards in Lesson 39: Nge & Ngali Deck (10):
1

Ningekaa Florida ningekula machungwa.

If i were to live in Florida, I would eat oranges.

2

Ningeishi Chicago ningeona theluji.

If i were to live in Chicago, I would see snow.

3

Ningesoma Kiswahili ningeenda Kenya

If i were to study Swahili, I would go to Kenya.

4

Ungaliona televisheni ungalilala mapema.

If you had watched television, you would have gone to sleep early.

5

Ningalicheza ningalichoka.

If I had played, I would have been tired.

6

Ningaliishi Kentuck ningalikula Kentucky Fried Chicken.

If I had lived in Kentucky, I would have eaten KFC.

7

Mwalimu ningependa kuzunugumza na wewe.

Teacher I would like to speak with you.

8

Mwalimu ungependa kuzungumza na mimi?

Teacher would you like to speak with me?

9

Ningependa kutembea hadi gukani.

I would like to walk to the store.

10

Ningependa cheza nje kwa sababu hali ya hewa ni nzuri.

I would like to play outside because the weather is nice.

Decks in Kiswahili Class (92):