Vocab 1 Flashcards Preview

Swahili > Vocab 1 > Flashcards

Flashcards in Vocab 1 Deck (189)
Loading flashcards...
1

name

jina (5, p: majina)

2

Welcome

Karibu

3

How are you doing? How are things?

Habari gani?

4

Hi, How are you?

Hujambo

5

I'm fine.

Sijambo

6

What's your name?

Jina lako ni nani?

7

My name is Kevan.

Jina langu ni Kevan

8

Do you speak Swahili?

Unasema Kiswahili?

9

Do you speak English?

Unasema Kiingereza?

10

Thank you

Asante

11

Good-bye

Kwaheri

12

morning

asubuhi

13

which/what

gani

14

news

habari

15

here

hapa

16

this

huyu

17

a little/few

kidogo

18

to see/to meet

kukuona

19

United States

Marekani

20

American

mmarekani (1, p: wamarekani)

21

also

pia

22

peace, peaceful

salama

23

very much, a lot

sana

24

now

sasa

25

just, only

tu

26

Good morning/How's the morning going?

Habari za asubuhi?

27

Good afternoon/How's the afternoon going?

Habari za mchana?

28

Good evening/how's the evening going?

Habari za jioni?

29

I'm glad to see/meet you

Nimefurahi kukuona

30

See you!

Tutaonana!