KU Lesson 58: Passive Verbs Flashcards
kuitwa
to be called (by)
kusemwa
to be said/spoken (by)
kuzungumzwa
to be spoken (by)
kuonywa
to be warned (by)
kuchezwa
to be played (by)
kugawanywa
to be divided (by)
kupikwa
to be cooked (by)
kusomwa
to be read/studied (by)
kupendwa
to be liked by (by)
kuonwa
to be seen (by)
kutazamwa
to be looked at/watched (by)
kupigwa
to be beaten (by)
kukulwa
to be eaten (by)
kutupwa
to be thrown (by)
kurukwa
to be jumped
kufanywa
to be done (by)
kuandikwa
to be written (by)
kugongwa
to be beaten (by)
kushikwa
to be held (by)
kuombwa
to be asked/begged/prayed (by)
kufunzwa
to be taught (by)
kufundishwa
to be taught (by)
kumalizwa
to be finished/completed (by)
kusafishwa
to be cleaned (by)
kuoshwa
to be cleaned (by)
kuanzwa
to be started (by)
kutokwa
to be coming from
kufikwa
to be arrived
kuletwa
to be brought (by)