KIU E Flashcards

0
Q

This is our one small store key.

That is our one small store key.

A

Huu ni ufunguo wetu mmoja mdogo wa stoo.

Ule ni ufunguo wetu mmoja mdogo wa stoo.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
1
Q

This page has a picture.

A

Ukurasa huu una picha.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
2
Q

His house keys were lost.

A

Funguo zake za nyumba zimepotea.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
3
Q

Peter bought those brooms.

A

Peter alinunua fagio zile.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
4
Q

That is my broom.

A

Ule ni ufagio wangu.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
5
Q

This is my big rental house.

That is my big rental house.

A

Hii ni nyumba yangu kubwa ya kupangisha.

Ile ni nyumba yangu kubwa ya kupangisha.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
6
Q

The tall house fell.

A

Nyumba ndefu imeanguka.

N class nouns do not take prefixes for the adjectives except: ndefu, njema, mpya, mbaya, and mbovu (out of order).

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
7
Q

Here is my place for relaxation.

There is my place for relaxation.

A

Hapa ni mahali pangu pa kupumzika.

Pale ni mahali pangu pa kupumzika.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
8
Q

He can stay anywhere.

A

Anaweza kukaa mahali popote.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
9
Q

This is a good place to build a house.

A

Hapa ni mahali pazuri pa kujenga nyumba.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
10
Q

We like this place.

We liked that place.

A

Tunapenda mahali hapa.

Tulipenda mahali pale.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
11
Q

This place has no water at all.

A

Mahali hapa hapana maji kabisa.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
12
Q

Is this the place where you were born?

A

Hapa ni mahali ulipozaliwa?

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
13
Q

Take these stamps and give me 5000 shillings.

A

Chukua stempu hizi na nipe shillingi elfu tano.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
14
Q

It takes a long time to travel by foot.

A

Inachukua muda mrefu kusafiri kwa miguu.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
15
Q

Water buffalo looks similar to a cow.

A

Nyati anafanana na ng’ombe.

16
Q

Lion is the fiercest wild animal of all.

A

Simba ni mnyama mkali kuliko wote.

17
Q

An elephant is bigger than a leopard.

A

Tembo ni mkubwa kuliko chui.

18
Q

Adjectives for M/Wa

A

Singular - M
Plural - Wa
Including numbers

19
Q

Adjectives for Ji / Ma

A

Singular - No Prefix (Moja, Zuri, Kubwa)
Plural - Ma (Mawili, Mazuri, Makubwa)
Exception Jipya / Mapya
Same rule for numbers

20
Q

Adjectives M / Mi

A

Singular - M
Plural - Mi
Same for numbers

21
Q

Adjectives Ki / Vi

A

Singular - Ki
Plural - Vi
Same for Numbers

22
Q

Adjectives for U / N Class

A

Singular - M (mmoja, mrefu, mdogo, mnene (fat), mfupi, mchafu)
Plural - Some take N (ndogo, ndefu). Others take none (nene, fupi, chafu)
Mmoja but plural numbers do not take prefix.

23
Q

Adjectives for N Class

A

Singular & Plural are same
Some take N (nzuri, ndogo, ngumu (difficult), ndefu, njema)
Start with B or P take M (Mbaya, Mbovu (out of order), Mpya)
Start with K, F, C, N no prefix (kubwa, fupi, chafu, chache)
Numbers no prefix

24
Q

He is a very honest child. He is tall and thin.

A

Yeye ni mtoto mwaminifu sana. Yeye ni mrefu na mwembamba.

25
Q

She mopped the house.

A

Alipiga deki nyumbani.

26
Q

The lake that is located in Western Tz is called Lake Tanganyika.

A

Ziwa ambalo lipo magharibi ya Tz linaitwa ziwa Tanganyika.

27
Q

The chair that is in back of the table is broken.

A

Kiti ambacho kipo nyuma ya meza ni kibovu.

28
Q

I will give you this book which I have just finished reading.

A

Nitakupa kitabu hiki ambacho nimemaliza kusoma.

Nitakupa kitabu hiki nimechomaliza kusoma.

29
Q

This is the room in which I will sleep.

A

Hiki ni chumba ambacho nitalala.

Hiki ni chumba nitacholala.

30
Q

People who live at the beach prefer to swim.

A

Watu ambao wanaishi pwani wanapendelea kuogelea.

31
Q

My house has three bedrooms, a sitting room, kitchen and a bathroom.

A

Nyumba yangu ina vyumba vitatu vya kulala, sebule, jiko na bafu.

32
Q

These are our two small store keys.

Those are our two small store keys.

A

Hizi ni funguo zetu mbili ndogo za stoo.

Zile ni funguo zetu mbili ndogo za stoo.

33
Q

These are my big rental houses.

Those are my big rental houses.

A

Hizi ni nyumba zangu kubwa za kupangisha.

Zile ni nyumba zangu kubwa za kupangisha.