82 - Morani Na Simba Flashcards

1
Q

But there was a large forest which was near the mountain which had plenty of grass and a few small rivers, and it was a journey of three days or more from the home of the Masai.

A

Lakini palikuwa na msitu mkubwa uliokuwa karibu na mlima ambao ulikuwa na majani tele na mito midigo michache, na ulikuwa mwendo wa siku tatu au zaidi kutoka nyumba za Wamasai.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
2
Q

Everyone feared to send their cattle down there because there was a very ferocious lion about, who had two fairly large cubs; this lion was extremely ferocious and even other animals feared to enter that forest.

A

Watu wote waliogopa kupeleka ng’ombe zao huko, maana kulikuwa na simba mkali sana ambaye alikuwa na watoto wawili wakubwa kidogo. Simba huyo alikuwa mkali kabisa hata wanyama wengine waliogopa kuingia msitu ule.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
3
Q

One day the Masai elders and the Morans were having a conversation outside the compound, making plans concerning their problem.

A

Siku moja, wazee kimasai na wamorani walikuwa wakizumgumza nje ya boma wakifanya mashauri juu ya shida yao.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
4
Q

In the end, one Moran, his name Ol Kindongoi, agreed to go and try to kill that lion.

A

Mwishoni, morani mmoja, jina lake Ol Kidongoi, akakubali kwenda kujaribu kumwua Yule simba.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
5
Q

On the second day that Moran made his journey and went as far as the forest area. In there he met that lion and after fighting with it for a long time, succeeded in killing it.

A

Siku ya pili, Yule Morani alifanya Safari yake akaenda mpaka msituni. Mle akakutana na yule simba na baada ya kupigana naye kwa muda mrefu akafaulu kumwua.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
6
Q

One year when it absolutely did not rain and the Masai cattle were in great difficulty, many cattle died and those which remained had no strength whatsoever, even when they were stabbed with and arrow, they did not give blood, just watery stuff. The state of the people and animals was very bad and this problem continued for over two years.

A

Mwaka mmoja ambapo mvua haikunyesha kabisa na ng’ombe wa Wamasai walikuwa katika shida kubwa, ng’ombe wengi walikufa na waliobaki hawakuwa na nguvu yo yote, hata walipochomwa mshale hawakutoa damu ila maji maji tu. Hali ya watu na wanyama ilikuwa mbaya sana, na shida hii iliendelea kwa muda wa miaka miwili na zaidi.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly