Lesson 11 Exercise 14 - Swahili Numbers Flashcards

1
Q

Answer in words:

Je, watu wangapi walifika hapa jana? (say 5)

A

Watu watano walifika hapa jana.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
2
Q

Answer in words:

Je, viti vingapi ni vibovu? (say 3)

A

Viti vitatu ni vibovu.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
3
Q

Answer in words:

Je, hamsini kutoa ishirini na moja ni ngapi?

A

Ni ishirini na tisa.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
4
Q

Answer in words:

Gawanya thelathini kwa tano

A

Ni sita

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
5
Q

Write in words:

10,000; 555; 432; 1678

A

Kumi elfu; mia tano hamsini na tano; mia nne thelathini na mbili; elfu moja mia sita na sabini na nane

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
6
Q

Write and answer in words:

10 * 15 ni 150

A

Kumi mara kumi na tano ni mia moja na hamsini

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
7
Q

Answer in words:

21 + 60 ni 81

A

Ishirini na moja kujumlisha na sitini ni themanini na moja

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
8
Q

Answer in words:

907 - 678 ni ngapi?

A

Mia tisa na saba kutoa mia sita na sabini na nane baki ni mia mbili ishirini na tisa.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly