Maswali & Majibu kukuhusu Flashcards Preview

Kiswahili > Maswali & Majibu kukuhusu > Flashcards

Flashcards in Maswali & Majibu kukuhusu Deck (10)
Loading flashcards...
1

U/na/i/twa/je?/ Jina lako ni?

Ninaitwa Jasmine

2

Je, wewe ni msichana au mvulana?

Mimi ni msichana

3

Unasoma shule gani?

Ninasoma shule ya upili akademia Rosslyn.

4

Wewe ni miaka mingapi?

Mimi ni miaka kumi na minne

5

Unatoka nchi gani?

Ninatoka Kenya

6

Uko darasa lipi?

Niko darasa la tisa

7

Unaishi wapi?

Ninaishi Kiambu

8

Unapenda kula chakula kipi/ gani?

Ninapenda kula bunsi ama chipsi

9

Unapenda kucheza spoti gani?

Ninapenda kucheza mangungu

10

Wewe huenda kanisani siku gani?

Mimi huenda kanisani Jumapili