Swahili--N class Flashcards
(116 cards)
1
Q
morning
A
asabuhi
2
Q
luck/fortune
A
bahati
3
Q
road
A
barabara
4
Q
cold (noun)
A
baridi
5
Q
ice
A
barafu
6
Q
letter
A
barua
7
Q
price
A
bei
8
Q
tea
A
chai
9
Q
salt
A
chumvi
10
Q
bottle
A
chupa
11
Q
minute
A
dakika
12
Q
medicine
A
dawa
13
Q
news
A
habari
14
Q
danger
A
hatari
15
Q
tent
A
hema
16
Q
evening
A
jioni
17
Q
coffee
A
kahawa
18
Q
pen
A
kalamu
19
Q
paper
A
karatasi
20
Q
work
A
kazi
21
Q
seed
A
mbegu
22
Q
vegetable
A
mboga
23
Q
table
A
meza
24
Q
car
A
gari
25
rain
mvua
26
chance/opportunity/spare time
nafasi
27
clothes
nguo
28
house
nyumba
29
machete
panga
30
iron (for clothes)
pasi
31
pepper
pilipili
32
permission
ruhusa
33
time/hour/watch
saa
34
reason
sababu
35
soap
sabuni
36
trip
safari
37
plate
sahani
38
area
sehemu
39
problem
shida
40
butter
siagi
41
day
siku
42
light (noun)
taa
43
garbage
takataka
44
date
tarehe
45
week
wiki
46
this (n class)
hii
47
that (n class)
ile
48
these (n class)
hizi
49
those (n class)
zile
50
of (linking article, n class, singular/plural)
ya / za
51
my (n class, singular)
yangu
52
your (n class, singular)
yako
53
his/her (n class, singular)
yake
54
our (n class, singular)
yetu
55
all of your (n class, singular)
yenu
56
their (n class, singular)
yao
57
my (n class, plural)
zangu
58
your (n class, plural)
zako
59
his/her (n class, plural)
zake
60
our (n class, plural)
zetu
61
all of your (n class, plural)
zenu
62
their (n class, plural)
zao
63
"it" subject prefix (for verbs)
i-
64
"they" subject prefix (for verbs)
zi-
65
"it" negated subject prefix
hai-
66
"they" negated subject prefix
hazi-
67
it is (location)
iko
68
they are (location)
ziko
69
it is not (location)
haiko
70
they are not (location)
haziko
71
which/that/whom (n class, singular)
ambayo
72
which/that/whom (n class, plural)
ambazo
73
it has (n class)
ina
74
they have (n class)
zina
75
it does not have (n class)
haina
76
they do not have (n class)
hazina
77
n class--consonant stem adjectives
n- (j, d, g, z), m- (v, b, mpya), ndefu (-refu)
78
n class--vowel stem adjectives
ny-
79
bad morning
asabuhi mbaya
80
rotten vegetables
mboga mbovu
81
few papers
karatasi chache
82
dirty car
gari chafu
83
small house
nyumba ndogo
84
short/low table
meza fupi
85
strange letter
barua ngeni
86
difficult time
saa ngumu
87
sharp machete
panga kali
88
dry evening
jioni kavu
89
big car
gari kubwa
90
how many pens
kalamu ngapi
91
flat road
barabara pana
92
new clothes
nguo mpya
93
steep road
barabara ndefu
94
sweet tea
chai tamu
95
empty bottle
chupa tupu
96
lazy spare time
nafasi mvivu
97
whole area
sehemu nzima
98
heavy rain
mvua nzito
99
main house
nyumba kuu
100
old road
barabara kuu kuu
101
nice clothes
nguo nzuri
102
pretty day
siku nzuri
103
narrow road
barabara nyembamba
104
red tent
hema nyekundu
105
light (in weight) table
meza nyepesi
106
black clothes
nguo nyeusi
107
many trips
safari nyingi
108
much salt
chumvi nyingi
109
some problem
shida nyingine
110
another day
siku nyingine
111
white car
gari nyeupe
112
kitchen
jikoni
113
stove
jiko
114
bathroom
bafu
115
office
ofisi
116
team
timu