Verbs Present Flashcards
(211 cards)
Sleep
- lala
Not Sleep
- lali
Kulala
to sleep
Silali
I do not sleep
To walk
Kutembea
Kutembea
To walk
(koo tem baya)
- Ninatembea, unatembea, anatembea, tunatembea, wanatembea, mnatembea
To cook
Kupika
Kupika
To cook
Ninapika, unapika, anapika, tunapika, wanapika, mnapika
To play
Kucheza
Ninacheza, unacheza, anacheza, tunacheza , wanacheza , mnacheza
To read
Kusoma
Kusoma
To read
-soma
Antonym = -somi
-somi
To not read / study
Sisomi, husomi, hasomi, hatusomi, hawasomi, hamsomi
-piki
To no cook
Sipiki, hupiki, hapiki, hatupiki, hawapiki, hampiki
Hatupiki
We don’t cook
-lali
To not sleep
Silali, hulali, halali, hatulali, hawalali, hamlali
Kuandika
To write
-andika
Write
Ninaandika, etc
To write
Kuandika
To not write
-andiki
Siandiki, huandiki, haandiki, hutuandiki, hawaandiki, hamandiki
Kuenda
To go
Go
Enda
-enda
To go
To wake up
-amka
Kuamka
Kuamka
To wake up