Vocabulary 9 Flashcards
(44 cards)
Don’t pass through the forest.
Usipitie msitu.
Treasure
Hazina
Lungs
Lung
Mapafu
pafu
Which Tanzania are you calling?
Mtanzania yupi unapigia simu?
I will choose between transport by plane and by car.
Nitachagua kati ya usafiri kwa ndege na kwa gari.
Politics
Parliment (plus MP)
Embassy
Siasa
Bunge (mbunge)
Ubalozi
regarding/about
(not kuhusu)
juu ya
Councillor/
Public magnate for the interests of the community
Diwani (Ma)
High commissioner
(ambassador for Commonwealth countries)
Balozi
The Zanizibar Revolution
Mapinduzi ya Zanzibar
The king’s speech
Hotuba ya mfalme
votes/ballot
to vote (verb)
campaign
Kura
Kupiga kura
Kampeni
The security of Tanzanians is safe.
Usalama wa Watanzania ni salama.
To elect / choose
Election
Kuchagua
Uchaguzi
Criminal
Crime
Mhalifu
Uhalifu
Marijuana
Narcotics
Bangi
mihadarati
Type
To intoxicate (derivative of -lewa)
Drugs
Aina
Kulevya
Dawa la kulevya
Kiasa
Policy
Idadi
Bila idadi
Number as in magnitude (reckoning)
Numberless
She is the only child.
Yeye ni mtoto pekee.
Modern democracy
Demokrasia ya kisasa
To marry
They will marry (each other)
Kuoa
Wataoana
To get used to
They are used to each other
Kuzoea
Wamezoeana
To wish
We wished each other well.
Kutakia
Tulitakiana heri.