Connections Flashcards
(34 cards)
halafu
Kesho asubuhi nitajifunza Kiswahili halafu nitaenda kazini.
and then/then
Tomorrow I will study Swahili and then I will go to work.
kama kawaida
Baada ya kumwona tulisalimiana kama kawaida.
as usual
After meeting him we greeted each other as usual.
kwa kawaida
Ninapoamka asubuhi kwa kawaida ninafanya mazoezi.
usually
When I wake up I usually do my exercises.
pia
Ninatoka Marekani na yeye pia anatoka Marekani.
also/too
I come from America, he also comes from America
hata kama
Hata kama umechoka lazima ufanye kazi ya nyumbani.
even if
Even if you are tired you must do your homework.
na
Wanafunzi watenda sokoni na mwalimu wao.
Mimi na wewe tutakaa pamoja.
and/with
Trainees will go to the market with their teacher.
I and you will stay together.
pamoja na
Anafanya kazi pamoja na watu mbali mbali.
together with
She is working together with various people.
samahani
Samahani, unaitwa nani?
excuse me
Excuse me, what is your name?
bila wasi wasi
Ninaisha Tanzania bila wasi wasi.
without fear
I am living in Tanzania without fear.
tafadhali
Ninaomba kupita tafadhali.
please
Please may I pass?
pole pole
Sema pole pole tafadhali.
slowly
Please speak slowly.
baadaye
Tutaonana baadaye.
later/afterwards
We will see each other later.
sawa
Unapaswa kunisikiliza, sawa?
okay
You have to listen to me, okay?
bado
Paul hawezi kuondoka, bado hajamaliza kazi yake.
Bado ninasubiri.
still/not yet
Paul can’t leave work because he has not yet finished his work.
I am still waiting.
katika
Kuna wanyama wengi katika nchi hii.
Weka vitabu katika meza.
Ninaenda katika mkutano.
in/on/to etc.
There are many animals in this country.
Put the books on the table.
I am going to the meeting.
lakini
Ninapenda soda lakini sina pesa.
but
I like soda but I don’t have money.
kidogo
Nimechoka kidogo.
a bit
I am a bit tired.
subiri
Subiri kidogo.
wait
Wait a bit.
ndiyo
Unapenda familia yako? Ndiyo.
yes
Do you like your family? Yes.
hapana
Unajua kila kitu? Hapana.
no
Do you know everything? No.
tofauti
Maisha ya Tanzania ni tofauti sana na maisha ya Marekani.
different
Life in Tanzania is very different from life in America.
baada ya
Baada ya kula ataendelea na kazi.
after
After eating, she will continue with work.
kabla ya
Walijifunza Kiswahili kabla ya kwenda katika familia.
before
They learned Swahili before going to the host families.
mbali mbali
Tunaweza kununua vita mbali mbali sokoni.
various
We can buy various items at the market.