Misc4 Flashcards
1
Q
Mwenzake/wenzake
A
Other (s)
2
Q
Kutokea
A
To appear, take place
3
Q
Kukasirika
A
To get angry
4
Q
Kuliwa
A
To be eaten
5
Q
Ugomvi
A
Strife, fighting, quarrel, dispute
6
Q
Vita
A
War
7
Q
Tangazo
A
Am announcement
8
Q
Kutangaza
A
To announce, declare
9
Q
Kutangazwa
A
To be announced, declared
10
Q
Kuchagua
A
To choose
11
Q
Kuchaguliwa
A
To be chosen
12
Q
Mjinga/wajinga
A
Fool
13
Q
Ujinga
A
Foolishness
14
Q
Uwanja
A
Field, stadium
15
Q
Marangu
A
Knobkerrie
16
Q
Mawe
A
Stones
17
Q
Mishale
A
Arrows
18
Q
Kutupia
A
To throw at
19
Q
Kuuma
A
To ache, to bite (dogs, bees)
20
Q
Silaha
A
Weapons
21
Q
Kuua
A
To kill
22
Q
Kuuana
A
To kill one another
23
Q
Mwenyewe/wenyewe
A
Himself/themselves
24
Q
Hatimaye
A
Finally
25
Ushindi
Victory
26
Kushangaza
To amaze
27
Kudharau
To look down on, despise
28
Unapendeza
You look good, smart, sharp
29
Kupendeza
To look good, smart, sharp
30
Hili na lili
This and that
31
Kusikiliza
To listen
32
Mwanzo
The beginning
33
Kutarajia
To look forward to
34
Kulinda
To protect, guard
35
Mama mja mzito
Pregnant woman
36
Kuliko
More than
37
Kivuli
Shade
38
Kutia
To put (something inside something)
39
Kupima
To examine/to weigh
40
Kutibu
To treat
41
Kuponya
To heal
42
Uponyaji
Healing
43
Utamaduni
Culture
44
Wakina Baba/mama
The fathers/mothers (used in church)
45
Uwezo
Ability
46
Usafi
Cleanliness
47
Tabaani
Critical condition
48
Kutibu
To treat
49
Matibabu
Medical treatment
50
Nimepata nafuu
I have improved in health
51
Kusahau
To forget
52
Kumeza
To swallow
53
Kukimbilia
To run to
54
Umetokea wapi?
Where do you come from?
55
Ahadi za Mungu
Promises of God
56
Kuahidi
To promise
57
Miwani
Glasses
58
Askofu
Bishop
59
Kuchanganya
To confuse/complicate
60
Hela
Money
61
Azimio
Declaration
62
Chama
Political party/union
63
Mapinduzi
Revolution
64
-tupu
Empty
65
Matendo/vitendo
Acts/actions
66
Macho makavu
Fearless
67
Kuwa katika upendo na Yesu
To be in love with Jesus
68
Kutambulisha
To introduce
69
Kuhama
To move to
70
Kuhamia
To move away from
71
Kukauka
To dry
72
Gari la mizigo
Lorry
73
Gari la abiria
Passenger car
74
Binafsi
Personal (ly)
75
Yaani
That is to say