Possessives Flashcards
(163 cards)
A bag of potatoes
Mfuko wa viazi
The farmer�s crops
Mimea ya mkulima
The guests� luggage
Mizigo ya wageni
The wells of that village
Visima vya kijiji kile
The child�s food
Chakula cha mtoto
The trees of the forest
Miti ya msitu
The door of the room
Mlango wa chumba
The labourers� wages
Mishahara ya vibarua
The mountains of Tanzania
Milima ya Tanzania
The thorns of the tree
Miiba ya mti
The pupils� books
Vitabu vya wanafunzi
Toes (of the foot)
Vidole vya mguu
A finger (of the hand)
Kidole cha mkono
The patient�s body
Mwili wa mgonjwa
The farmer�s animals
Wanyama wa mkulima
The old man�s pipe
Kiko cha mzee
The servant�s reference
Cheti cha mtumishi
The teacher�s chair
Kiti cha mwalimu
The members of the society
Wanachama wa chama
The farmer�s potatoes
Viazi vya mkulima
Look at the thorns of that tree. They are very sharp.
Angalia miiba ya mti ule. Ni mikali sana.
The farmers of this village had good food crops.
Wakulima wa kijiji hiki walikuwa na mimea mizuri ya chakula.
Mount Kilimanjaro is visible now.
Mlima wa Kilimanjaro unaonekana sasa.
The five-year plan has started for this period.
Mpango wa miaka mitano umeanza kwa muda huu.