Nilikuwa na
I had, I did have
Ulikuwa na
You had, you did have
Alikuwa na
He/she had, he/she did have
Tulikuwa na
We had, we did have
Mlikuwa na
You had, you did have
Walikuwa na
They had, they did have
Nitakuwa na
I shall have
Utakuwa na
You will have
Atakuwa na
He/she will have
Tutakuwa na
We shall have
Mtakuwa na
You will have
Watakuwa na
They will have
Nimekuwa na
I have had
Umekuwa na
You have had
Amekuwa na
He/she has had
Tumekuwa na
We have had
Mmekuwa na
You have had
Wamekuwa na
They have had
Ulikuwa na
It had, it did have (M-MI)
Ulikuwa na
They had, they did have (M-MI)
Utakuwa na
It will have (M-MI)
Itakuwa na
They will have (M-MI)
Umekuwa na
It has had (M-MI)
Imekuwa na
They have had (M-MI)