Time Flashcards
1
Q
12 AM
A
saa sita usiku
2
Q
1 AM
A
saa saba usiku
3
Q
2 AM
A
saa nane usiku
4
Q
3 AM
A
saa tisa usiku
5
Q
4 AM
A
saa kumi alfarjiri
6
Q
5 AM
A
saa kumi na moja alfarjiri
7
Q
6 AM
A
saa kumi na mbili alfarjiri
8
Q
7 AM
A
saa moja asubuhi
9
Q
8 AM
A
saa mbili asubuhi
10
Q
9 AM
A
saa tatu asubuhi
11
Q
10 AM
A
saa nne asubuhi
12
Q
11 AM
A
saa tano asubuhi
13
Q
12 PM
A
saa sita mchana
14
Q
1 PM
A
saa saba mchana
15
Q
2 PM
A
saa nane mchana
16
Q
3 PM
A
saa tisa mchana
17
Q
4 PM
A
saa kumi jioni
18
Q
5 PM
A
saa kumi na moja jioni
19
Q
6 PM
A
saa kumi na mbili jioni
20
Q
7 PM
A
saa moja usiku
21
Q
8 PM
A
saa mbili usiku
22
Q
9 PM
A
saa tatu usiku
23
Q
10 PM
A
saa nne usiku