Wiki tatu - Salutations Flashcards
Comment s’appelle la chanteuse ?
Mwimbaji mwanamke anaitwa nani ?
Russie
Urusi
Turquie
Uturuki
matin
asubuhi
mchana
après-midi
soirée
jioni
nuit
usiku
Bonjour (matin) !
Habari za/ya asubuhi !
Bonjour (après-midi) !
Habari za/ya mchana !
Bonsoir (soirée) !
Habari ya/za jioni !
Bonsoir / Bonne nuit !
Habari za/ya usiku !
Habari yako ? Na wewe je ? (Réponse)
Njema !
Nzuri !
Salama tu !
Safi sana !
Pas de problème ? (Ça va ?)
Hujambo ? Sijambo / Hajambo !
Moi aussi !
Mimi pia !
enseigner
kufunza
apprendre
kujifunza
“Le professeur instruit / enseigne, l’élève apprend”
“mwalimu anafunza / anafundisha, mwanafunzi anajifunza”
docteur, médecin
daktari
Quel travail fais-tu ? (Est-ce que tu travailles ?)
Unafanya kasi gani ?
Cool !
Poa !
Jioni njema !
Bonne fin d’après-midi / début de soirée !
Maman va bien ? Elle va bien, merci.
Mama hajambo ? Hajambo, asante.
travailler
kufanya kazi
quel
gani