-a bei nafuu
affordable
(ku) -ogopa
to be afraid
baada ya hapo
after that
takriban
almost
peke (+ possessive) ; e.g., peke yake
alone ; by himself / he alone
mnyama - wanyama
animal(s)
(ku) -azima
to borrow / to lend
wivu
jealous / envy / envious
usiku wa manane
midnight / dead of night
(ku) -tenda
To do / to act / to perform / to carry out
utendaji
action / activity / service / performance
mrejesho
feedback
marejesho
loan repayments
akili
mind (brain)
maelezo
explanation / description
ujenzi
construction / building
ushirika
cooperation / community / organization
tatizo
problem
ushiriki
collaboration
mchango - michango
contribution(s) / payment(s)
kwa ajili ya muda / kwa sababu ya muda
in the interest of time
tusonge mbele
let us move forward
(ku) -karabati
to rehabilitate
(ku) -ongezea
to add something / to add to
affordable
-a bei nafuu
to be afraid
(ku) -ogopa
after that
baada ya hapo
almost
takriban
alone ; by himself / he alone
peke (+ possessive) ; e.g., peke yake
animal(s)
mnyama - wanyama
to borrow / to lend
(ku) -azima
jealous / envy / envious
wivu
midnight / dead of night
usiku wa manane
To do / to act / to perform / to carry out
(ku) -tenda
action / activity / service / performance
utendaji
feedback
mrejesho
loan repayments
marejesho
mind (brain)
akili
explanation / description
maelezo
construction / building
ujenzi
cooperation / community / organization
ushirika
problem
tatizo
collaboration
ushiriki
contribution(s) / payment(s)
mchango - michango
in the interest of time
kwa ajili ya muda / kwa sababu ya muda
let us move forward
tusonge mbele
to rehabilitate
(ku) -karabati
to add something / to add to
(ku) -ongezea