Fluidité Flashcards

1
Q

Les informations / rapports qui nous viennent du Soudan du Sud indiquent que

A

Taarifa zinazotoka Sudan Kusini zinasema kwamba

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
2
Q

d’autres / les autres (quand mise en relation les uns, les autres)

A

wengineo

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
3
Q

et donc je pense

A

na ndipo ninafikiria, kwa hiyo ninafikiria

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
4
Q

il y a des tensions internes au parti

A

kuna mivutano ya ndani ya chama

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
5
Q

il y a des divisions dans, entre

A

kuna mgawanyiko katika, kati ya

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
6
Q

jusqu’à maintenant

A

hadi wakati huu

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
7
Q

c’est comme ça que ça se passe maintenant, c’est la situation actuelle

A

ndiyo hali inavyofanya sasa

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
8
Q

effectivement

A

kusema ukweli

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
9
Q

c’est possible, c’est plausible

A

hiyo inawezekana

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
10
Q

des choses comme ça

A

vitu kama hivyo

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
11
Q

également

A

halafu pya

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
12
Q

de manière générale

A

kwa ujumla

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
13
Q

cette question peut apparaître dans le domaine de

A

swala linaweza kujitokeza katika sehemu ya

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
14
Q

plusieurs

A

baadhi ya

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
15
Q

ils ont fait ça parce que

A

walifanya vitendo hivyo kwa sababu

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
16
Q

il y a un clivage ethnique

A

kuna mgawanyiko wa kikabila

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
17
Q

en effet, il y a une mixité ethnique

A

kwa kweli, kuna mchanganyiko wa kikabila / kikabila kuna mchanganyiko.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
18
Q

la situation semble être normale

A

sehemu zinafanya kazi kama kawaida

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
19
Q

il n’a rien à voir avec ça

A

hahusiki na hii

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
20
Q

cela montre les réussites et les défis de la question de la gouvernance

A

inaonesha mafanikio na changamoto katika dhana nzima ya utawala bora

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
21
Q

avant d’aller plus loin dans mon émission

A

kabla sijaenda mbali ndani ya makala yangu

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
22
Q

j’en profite pour

A

nitoe nafasi hii ku

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
23
Q

ils n’ont pas vraiment réussi à améliorer la situation

A

hawafanyi vizuri katika kuboresha hali

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
24
Q

la démonstration

A

uonyeshaji

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
25
il y a beaucoup de femmes qui
kuna baadhi ya kinamama ambao
26
les gens ne sont pas vraiment éduqués [= l'éducation est très petite]
elimu ni ndogo sana
27
sans aucun doute
bila shaga
28
c'est ce qui fait que
ni chanzo cha kusababisha
29
la confiance règne au sein de la société / communauté
imani imejengeka katika jamii
30
ça montre pourquoi cette question est une question sociale, et non pas ethnique
hali hiyo inaonesha kwani swali hili ni la kijamii kabisa, sio la kikabila
31
ils sont partout dans le pays
wamefikia kokote nchini humo
32
c'est un désastre national
ni janga la kitaifa
33
c'est un problème national et régional
ni swala la kitaifa na la ukanda
34
il faut du développement pour construire la paix
kunahitajika maendeleo kujenga amani
35
il faut de la croissance pour créer du développement, mais cela ne suffit pas. Il faut aussi que la croissance atteigne et profite à tous, surtout aux pauvres
kunahitajika ukuaji wa kiuchumi kuzusha maendeleo, lakini hii hairidhiki. Inapaswa ukuaji huo ufikie na ufainushe watu wote, hususani maskini.
36
ils critiquent le gouvernement
wanatupia lawama serikali
37
ils critiquent le gouvernement alors qu'eux-mêmes ne font rien
wanatupia lawama serikali wakati hawafanyi chochote wenyewe
38
un autre sujet maintenant
tukiachana na hiyo
39
alors que le gouvernement tanzanien publie (=vient avec) les résultats de l'enquête
wakati serikali ya Tanzania inapokuja na matokeo ya repoti
40
au moins
angalau
41
que chaque personne puisse vivre avec au moins 2 dollars par jour
kila mtu awe na angalau dola 2 kwa siku
42
cet article parle du problème de
makala hii inaangalia tatizo la
43
cet article parle de la question des élèves qui sortent de l'école sans savoir lire, écrire ou compter
makala hii inaangalia tatizo la wanafunzi abao wanaondoka shule bila kujua kusoma, kuandika na kuhesabu
44
il est également devenu évident que
imebainika pya kwamba
45
le gouvernement a annoncé une stratégie pour
serikali imekuja na mkakati wa kuboresha
46
la mise en oeuvre des plans du gouvernement
kuutekeleza mipango ya serikali
47
mettre un terme au problème de
kumaliza tatizo la
48
son objectif est de s'assurer que
lengo lake ni kuhakikisha kwamba
49
pour comprendre / by way of background
kwa lengo la kufahamu
50
l'environnement que doivent avoir les gens est ...
mazingira ambayo watu wanapaswa kuwa nayo ni...
51
de ce que je comprends, de mon point de vue, de ce que je sais
kwa ujuzi nilio nao
52
mais si vous avez...
lakini unapokuwa...
53
avoir une possibilité unique / en or pour
kuwa na nafasi ya kipekee katika ku-...
54
tout le concept
dhana nzima
55
c'est toute la gouvernance du pays / du secteur qu'il faut revoir
dhana nzima ya utawala bora katika nchi / sekta inahitajika kutathminiwa.
56
être utile, être bien, être intéressant (pour la réalisation de qqc)
-leta manufaa
57
la coopération avec les organisations de la société civile est utile pour le gouvernement
ushirikiano na mashirika ya jamii za kiraia unaleta manufaa kwa serikali
58
en fait, c'est quoi les défis, les problèmes, qui font que ça ne va pas?
kwa kweli, ni changamoto au matatizo gani yanayosababisha hali hiyo mbaya?
59
je crois qu'un des défis pour le gouvernement c'est que les entreprises ne paient pas les impôts comme il le faudrait
kuna changamoto ninaiona kwa serikali, ni kwamba kampuni hazilipi mapato yanayofaa.
60
pour finir, finalement
hatimaye
61
la fourniture de services publics
utoaji wa huduma kwa umma
62
mais même comme ça, mais pourtant
lakini hata hivyo
63
ailleurs, autre part, à un autre moment
wakati wengine, pengine
64
quand je parle de politique de santé, je veux dire une politique en matière de formation des médecins, en matière d'infrastructures et d'équipement de santé, en matière de santé dans les zones rurales.
ninapozungumza sera ya afya, ninamaanisha sera kwa maana ya elimu wa madaktari, kwa maana ya miondombinu na vifaa vya afya, kwa maana ya utoaji wa huduma za afya katika maeneo ya shamba.
65
en termes de
kwa maana ya
66
les résultats de cette stratégie militaire ne sont pas bons
matokeo ya mkakati huo ya kijeshi sio mazuri
67
l'exécution, la réalisation d'une politique
utizaji / utekelezaji wa sera
68
les défis pour la communauté internationale sont nomberuex
kwa jumuiya ya kimataifa, changamoto iliyonazo ni nyingi
69
cette situation a fait que, a amené
hali hiyo ikapeleka
70
cette situation fragile a fait que des groupes de rebelles ont voulu faire un coup d'Etat
hali hiyo tete ikapeleka makundi ya waasi kutaka kufanya mapinduzi.
71
il faut que la France pousse les Etats européens à l'aider en RCA
inabidi Ufaransa iyasukume mataifa ya Ulaya yaunge mkono nae katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
72
il y a beaucoup de monde [litt: il y a grande foule]
kuna msongamano mkubwa
73
dans quelle mesure ce problème se pose-t-il?
tatizo hili lipo kwa kiasi gani?
74
j'aime faire ce travail [litt: ce travail est agréable]
kazi hii inapendeza
75
et caetera
na hali kadhalika
76
la poursuite, la continuité
mwendelezo
77
la poursuite de cette politique nécessite que les autorités locales reçoivent de l'argent
mwendelezo wa sera hii unahitajika mamlaka za ngazi za kiyeneji zipate fedha
78
les lignes directrices, le guideline
mwongozo
79
l'évaluation
upimaji, tathmini
80
parmi les plans du [=qui sont auprès du] gouvernement en ce moment, on a
miongoni mwa mipango iliyokokatika serikali kwa sasa, ni
81
je voudrais dire que
napenda kusema kwamba
82
j'ai fait des études de science politique à la Sorbonne, puis j'ai terminé avec une spécialisation en coopération internationale, développement et efficacité de l'aide.
nilichukua elimu wa mambo ya siasa katika chuo kikuu cha Sorbonne, na kumalizika na kitaalumu katika mambo ya ushirikiano ya kimataifa, maendeleo na tija ya msaada.
83
c'est la raison pour laquelle je suis arrivée en Tanzanie, sans savoir parler swahili
ndiyo sababu nimekwenda Tanzania, bila kujua kuongea Kiswahili.
84
comme je l'ai dit au départ
kama nilivyoongea awali
85
complet
kamilifu
86
en vous remerciant, je vous souhaite une bonne journée
nikishukuru, nakutakia siku njema
87
la situation qui prévaut au Sud-Soudan
hali ilivyo Sudan Kusini
88
l'action de la Séléka vient obstruer / gêner les efforts de l'armée française
vitendo vya Seleka vinakinzana na juhudi za majeshi ya kifaransa
89
le capacity building
kujenga uwezo
90
le site Internet
tovuti
91
le service public
huduma kwa umma
92
les régulations
kanuni
93
commencer qqc (un business, un projet)
-anzisha (biashara, rasimu)
94
manager un business, un projet
-simamia biashara, rasimu
95
la prestation de services
huduma za kukodi
96
la construction et l'habitat
ujenzi na makazi
97
les development partners
washirika wa meandeleo
98
le management
usimamizi
99
les principes d'efficacité de l'aide
kanuni za tija ya msaada
100
promouvoir
-himiza
101
l'appropriation nationale
umiliki wa kitaifa
102
à travers, via
kwa kutumia
103
le partage d'information
-shirikiana taarifa
104
l'harmonisation
uwianishaji
105
l'harmonisation des positions entre pays européens
uwianishaji wa misimamo kati ya mataifa ya Ulaya
106
l'alignement, la fusion
ufungamanishaji
107
l'alignement de l'aide avec les priorités du gouvernement
ufungamanishaji wa msaada na vipaumbele vya serikali
108
atteindre un objectif
-timiza / -fikia lengo
109
le développement durable
maendeleo endelevu
110
l'aide budgétaire globale
msaada wa bajeti wa jumla
111
un élément important
kipengele muhimu
112
il y a trois éléments importants dans cette idée
kuna vipengele muhimu vitatu katika dhana hii
113
la réduction de la pauvreté
kuondoa umaskini
114
pour ce faire, pour atteindre ce but
ili kufikia hayo
115
de manière équitable
kwa haki
116
réhabiliter, reconstruire, transformer après un évènement
-rekebisha
117
préventif
inayohimiza
118
des actions préventives doivent être prises pour éviter une autre crise
vitendo vinavyohimiza vinapaswa kuchukuliwa ili kuzuia kurudisha kwa mgogoro
119
à tous les niveaux
katika ngazi zote
120
à haut niveau
katika ngazi za juu
121
mbadala
alternatif
122
des politiques macro-économiques alternatives
sera mbadala za uchumi kwa ujumla
123
l'idée derrière cette décision est que
chimbuko la hatua hilo ni kwamba
124
à l'horizon 2015
ifikapo mwaka 2015
125
l''essence de, l'idée derrière, le fond de
chimbuko (ji, ma)
126
la transformation, la reconstruction
marekebisho
127
des transformations économiques et sociales
marekebisho ya kiuchumi na kijamii
128
le statut de pays à revenu intermédiaire
hadhi ya nchi yenye pato la kati
129
la compétitivité
ushindani
130
l'état de droit
utawala wa sheria
131
une moyenne
wastani
132
une moyenne de revenu, un revenu moyen
wastani ya pato
133
une politique macro-économique
sera ya uchumi kwa jumla
134
booster la croissance
-kuza uchumi
135
les prix des minéraux et du pétrole boostent la croissance mais ne créent pas de développement durable
bei za madini na mafuta zinakuza uchumi lakini hazizushi maendeleo endelevu
136
mettre en place une stratégie, une politique
-tunga mkakati, sera
137
il y a trois politiques qu'il faut mettre en place
sera hizi tatu zinapaswa kutungwa
138
le problème n'est pas de créer des politiques, mais de les appliquer
tatizo sio kutunda au kutoa sera, tatizo ni kuzitekeleza
139
le transport de marchandises
usafirishaji wa bidhaa
140
l'allocation des ressources
utengaji wa rasilimali
141
le suivi et l'évaluation
ufuatiliaji na tathmini
142
les secteurs stratégiques
maeneo ya kimkakati
143
les stakeholders
madau
144
il faut prendre en considération de très nombreux stakeholders dans le processus de décision
inabidi kuwazingatia madau wengi katika mchakato wa uchukuaji hatua
145
une ONG
asasi zisizo za kiserikali (AZISE)
146
l'efficacité (au sens anglais d'efficience)
ufanisi
147
avoir plus d'efficacité
kufanya kazi kwa ufanisi zaidi
148
pour autant, la situation n'est pas devenue meilleure
lakini hata hivyo, hali bado imekuwa bora
149
est-ce la situation s'est améliorée?
je hali imekuwa bora?
150
il faut plus de changement et d'amélioration
mabadiliko na maboresho zaidi yanahitajika
151
être fort
-imarika
152
les relations économiques entre la Chine et l'Afrique sont fortes
uhusiano wa kiuchumi kati ya China na Afrika unaimarika
153
le représentant spécial des Nations-Unis a sorti plusieurs recommandations importantes sur la façon d'améliorer la situation
Mtume maalum wa Umoya wa Mataifa ametoa baadhi ya mapendekezo muhimu kuhusu jinsi mambo yanavyoweza kuboreshwa
154
travailler ensemble
-fanya kazi kwa pamoja
155
la société civile
jamii za kiraia
156
la société civile joue un rôle important dans l'élaboration des politiques
jamii za kiraia zina dhima muhimu katika kuunda sera
157
il y a encore des difficultés, il y a encore beaucoup de difficultés
hali ya mashaka bado ipo, mashaka makubwa bado yapo
158
la difficulté c'est que
mashaka ni kwamba
159
l'obstacle, la limite
kizuizi
160
certains (dans le sens de qq)
fulani
161
pour réellement avoir la paix [=pour parfaire] au nord du pays, il est nécessaire que les deux parties, les Touaregs et le gouvernement, coopèrent sans obstruction.
kumalizika amani kazkazini mwa nchi kunapaswa pande hizo mbili, watuareg na serikali, zishirikiane bila kizuizi.
162
certaines parties du gouvernement veulent une chose, tandis que certains en veulent une autre. il n'y a pas d'harmonisation des positions
sehemu fulani za serikali zinataka kitu kimoja wakati zingine zinataka mengine. hakuna uwianishaji wa misimamo.
163
le risque est que les touaregs soient écartés du pouvoir.
hatari ni kwamba watuareg watengwe katika madaraka.
164
l'apport, la contribution
mchango
165
une solution innovante
suhulu bunifu
166
un impact fort, moyen, faible
athari kubwa, wastani, dhaifu
167
pour évaluer leur efficacité et leur impact réel, il faut utiliser des techniques [=des moyens formels] d'évaluation comme les statistiques
kutathmini ufanasi wao na athari wao kwa ukweli, inabidi kutumia njia rasmi za upimaji kama vile takwimu.
168
ces développements sont encourageants mais cela ne suffit pas
maendeleo hayo yanatia moyo lakini hayaridhiki
169
une consultation
mashauriano
170
une large consultation nationale qui inclut tous les groupes
mashauriano mapana ya kitaifa ambayo yanazingatia kila kundi
171
des sources alternatives d'énergie, d'argent
vyanzo mbadala vya nishati, vya fedha
172
la préparation
uandaaji, maandalizi
173
le statut
hadhi
174
le statut de préparation, d'exécution, d'achèvement
hadhi ya kujiandaa, kutekeleza, kukamilika
175
être encore à l'état de conception
kuwa bado katika hadhi ya kujiandaa
176
influencer, persuader
-shawishi
177
les ONG veulent influencer efficacement le gouvernement
AZISE zinataka kuishawhishi serikali kwa ufanisi
178
une stratégie d'influence
mkakati wa ushawishi
179
une préparation suffisante
uandaaji wa kutosha, maadalizi ya kutosha
180
cela participe de la stratégie d'influence des Etats-Unis sur le continent africain
hayo yanachangia katika mkakati wa ushawishi wa Marekani barani Afrika
181
on peut distinguer / identifier trois grands axes dans la politique étrangère de l'Afrique du Sud
tunaweza kuainisha mihimili mitatu katika sera ya nje ya Afrika Kusini
182
il faut identifier les secteurs prioritaires à améliorer pour booster la croissance de l'économie
inapaswa kuainisha sekta za kipaumbele za kuboresha ili kukuza ukuaji wa uchumi
183
faire du bruit pour rien
kupiga kilele hewani
184
le calendrier des réformes
shughuli ya mageuzo
185
travailler ensemble comme de véritables partenaires
-fanya kazi kwa pamoja kama wabia halisi / kwa kweli
186
le partenariat
ubia
187
construire un partenariat avec la société civile
-jenga ubia na jamii za kiraia
188
un environnement politique favorable à l'investissement, à la paix
mazingira wezeshi ya kisiasa kwa uwekezaji, kwa amani
189
en conclusion
kwa hitimisho
190
avoir l'habitude
kuwa na uzoefu
191
la communauté internationale est satisfaite des résultats / n'est pas satisfaite des résultats
jumuiya ya kimataifa inaridhishwa na matokeo / hairidhishwi na matokeo
192
Le gouvernement fera tout ce qui est en son pouvoir pour éviter que la crise ne s'aggrave.
Serikali itafanya kila iwezalo kuzuia ghasia kusambaa zaidi.
193
Le gouvernement fera tout ce qu'il est nécessaire pour améliorer la situation.
Serikali itachukua kila linalotakiwa kuboresha hali.