Phrases SW-FR 2 Flashcards
(185 cards)
Azimio hilo limepitishwa
Cette motion a été autorisée à être présentée.
Azimio la kulikubali ombi la nchi
Une motion pour accepter la demande du pays
Baada ya kusitisha kwa majuma mawili kupitisha sherehe ya mwishoni mwa mwaka
Après une interruption de deux semaines en raison des fêtes de fin d’année.
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limeshutumu Korea Kazkazni kwa majaribio yake ya makombora ya kinuclea
Le Conseil de Sécurité des Nations-Unis a condamné la Corée du Nord pour ses essais de missiles nucléaires.
Baraza la usalama wa UM limewawekea vikwazo viongozi wa M23
Le CSNU a infligé des sanctions aux dirigeants du M23.
Baraza limetawaliwa na waliberali
Le conseil est dominé / dirigé par les Libéraux.
Baraza linaloratibu upatikanaji wa katiba mpya
Le conseil qui coordonne l’élaboration de la nouvelle constitution.
Chini ya mwamvuli wa Umoja wa Afrika
Sous l’ombrelle de l’UA.
Cissoko anachukua nafasi ya Waziri Mkuu wa zamani Diarra
Cissoko succède à l’ancien premier ministre Diarra.
Dalili zinaonesha wazi kuwa…
Les signes indiquent clairement que…
Dalili zinaonesha wazi kuwa…
Les signes montrent clairement que…
Hajagusia kushurutishwa kwa kujiuzulu kwa Waziri Mkuu.
Il n’a pas abordé le sujet de la démission forcée du premier Ministre.
Hakuna katiba, bali kuna mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Il n’y a pas de Constitution, mais un traité de l’EAC.
Hakupa sababu maalum ya kuelekeza hatua yake
Il n’a pas donné de raison particulière pour expliquer sa décision.
Hali imeendelea kuwa tete kufuatia kurepotiwa mapingano makali
La situation continue d’être instable après que des combats violents aient été rapportés.
Hali ya hofu
Un climat de peur
Hali ya usalama bado tete
Le calme est encore fragile.
Hali ya wasiwasi inashuhudiwa jijini Goma
L’atmosphère d’incertitude se fait sentir dans la ville de Goma.
Hamna pingamizi kuhusu Bw. Tangaye kuwa Waziri Mkuu ajaye
Il n’y a pas d’opposition à ce que [=au sujet de] M. Tangaye devienne le prochain Premier Ministre.
Hatua hiyo inaendelea kuzua utata na hali ya hofu nchini humo
Cette démarche continue à créer du tumulte et à instaurer un climat de peur au sein du pays.
Hatua hiyo yagandamiza haki za wakristo
Cette decision porte atteinte aux droits des chrétiens.
Hatua imekuwa ikigonga mwamba kutokana na upinzani wa watetezi
La démarche s’est heurtée à un obstacle majeur, fruit de la résistance des opposants.
Hatua imewasilishwa licha ya upinzani wa wanachama
La decision est passée en dépit de l’opposition des membres du parti.
Hatua inatarajiwa kutolewa leo
La décision devrait être prise aujourd’hui.