Vocab 15 Flashcards Preview

Swahili > Vocab 15 > Flashcards

Flashcards in Vocab 15 Deck (236)
Loading flashcards...
1

agreement(s) (m-)

muafaka (3, p: miafaka)

2

tragedy(ies) (m-)

mkasa (3, p: mikasa)

3

to bribe

kuhonga

4

violation

ukiukaji

5

to be silenced

kunyamazishwa

6

kuvuruga

to disturb, disrupt

7

panel(s)

jopo (5, p: majopo)

8

to create

kuunda

9

commission (n)

tume

10

activist(s)

mwanaharakati (1, p: wanaharakati)

11

to submit

kuwasilisha

12

stigma

unyanyapaa

13

strategy(ies)

mkakati (3, p: mikakati)

14

violation

ukiukaji

15

statistics

takwimu

16

to deserve, be worthy of

kustahili

17

interests

maslahi

18

treaty(ies)

mkataba (3, p: mikataba)

19

to smell

kunusa

20

to smell bad

kunuka

21

appointment, nomination

uteuzi

22

selection(s)

mchujo (3, p: michujo)

23

while, whereas

ilhali

24

to contest, run for office

kugombea, kuwania

25

vacant, open, evident, obvious

wazi

26

clearly, openly

wazi wazi

27

anxiety, confusion, uncertainty

wasi wasi

28

to sell, market

kuuza sera

29

to be armed

kujihami

30

another word for jinsi (v-)

vile