Vocab 7 Flashcards Preview

Swahili > Vocab 7 > Flashcards

Flashcards in Vocab 7 Deck (209):
1

net(s)

wavu (p: nyavu)

2

to volunteer

kujitolea

3

shape(s), form(s), physique(s)

umbo (5, p: maumbo)

4

to dream

kuota

5

glove(s)

glavu

6

umbrella(s)

mwavuli (3, p: miavuli)

7

ankle(s)

kifundo cha mguu (7, p: vifundo vya miguu)

8

wrist(s)

kinfundo cha mkono (7, p: vifundo vya mikono)

9

long-sleeved shirt

shati la mikono mirefu

10

short-sleeved shirt

shati la mikono fupi

11

to be cool

kutabaradi

12

embarrassment, shame, humiliation

aibu

13

nervousness, shyness, timidity

uoga

14

to be satisfied

kuridhika

15

to become warm

kuwia

16

hambuger(s)

hambaga

17

hot dog(s)

hoti dogi

18

pizza(s)

piza

19

fan(s)

pepeo, upepeo, kipepeo (7, p: vipepeo)

20

microwave oven(s)

choko

21

refrigerator(s)

friji

22

broom(s), vacuum cleaner(s)

ufagio (p: fagio)

23

washing machine(s)

mashine ya kuosha nguo

24

check in

kuingia

25

check out

kutoka

26

hotel(s)

hoteli

27

number(s)

nambari

28

to comb hair

kuchana

29

to gargle

kusukutua

30

to shower. to bathe

kuoga

31

to break

kuvunja

32

to burn

kuchoma, kuwaka

33

wound(s)

kidonda (7, p: vidonda)

34

to sprain

kushtua

35

necklace(s)

mkufu (3, p: mikufu)

36

ring(s)

pete

37

thousand

elfu

38

administrator(s), manager(s)

msimamizi (1, p: wasimamizi)

39

to smoke

kufuka

40

elementary school

shule ya msingi

41

middle school

shule ya kati

42

high school

shule ya secondari

43

principal(s)

mwalimu mkuu (1, p: walimu wakuu)

44

university(ies)

chuo kikuu (7, p: vyuo vikuu)

45

backpack(s)

mfuko (3, p: mifuko)

46

calculator(s)

kikokotoo (7, p: vikokotoo)

47

glue(s)

gundi

48

pencil sharpener(s)

cherehe

49

skirt

sketi

50

Africa

Afrika

51

Antarctica

Antaktika

52

Asia

Asia

53

Australia

Australia

54

North America

Amerika kaskazini

55

South America

Amerika kusini

56

Europe

Ulaya

57

short

-fupi

58

nervous

oga

59

burn(s)

chomo (5, p: machomo)

60

dark

-eusi

61

light (in weight)

-epesi

62

accounting

uhasibu

63

marketing, trading

uuzaji

64

wage(s)

ujira

65

reservation(s)

hifadhi

66

room(s)

chumba (7, p: vyumba)

67

vacancy(ies)

nafasi

68

to engage for marriage, to propose

kuposa

69

to move, migrate

kuhama

70

to retire

kustaafu

71

drum(s)

ngoma

72

guitar(s)

gitaa

73

harmonica(s), flute(s)

filimbi

74

piano(s)

piano

75

saxophone(s)

saksafoni

76

trumpet(s)

tarumbeta (5, p: matarumbeta)

77

violin(s)

fidla

78

envelope(s)

bahasha

79

paper clip(s)

kikaza karatasi (7, p: vikaza karatasi)

80

staple(s)

pete

81

baseball

beisboli

82

boxing

ndondi

83

to feel dizzy

kusua

84

fatigue

uchovu

85

nausea

kichefuchefu (7, p: vichefuchefu)

86

runny nose

makamasi

87

train platform

ukingo

88

timetable

ratiba

89

light (in color)

-eupe

90

light(s)

mwanga (3, p: mianga)

91

chance(s), opportunity(ies)

nafasi

92

fastener(s), clamp(s)

kikaza (7, p: vikaza)

93

to be accepted

kukubaliwa

94

advice, pieces of advice

shauri (5, p: mashauri)

95

to advise

kushauri

96

again

tena, halfau

97

almost

takriban

98

alone

peke (+ posessive)

99

also

pia, vilevile

100

another time

mara nyengine

101

answer(s)

jibu (5, p: majibu)

102

to be appointed

kuteuliwa

103

autumn

mapukutiko (plural)

104

baboon(s)

nyani

105

badness

ubaya

106

to beat

kupiga

107

to be beaten

kupigwa

108

better

bora

109

blind

-pofu

110

blood test

uchunguzi wa damu

111

to borrow

kutopa

112

to be bought

kununuliwa

113

breakfast

chamshakinywa

114

to bring back

kurudisha

115

to be built

kujengwa

116

to be burned

kuwashwa

117

to be carried

kuchukuliwa

118

to carry

kubeba, kuchukua

119

to cause to

kusababisha

120

to cause pain

kuumiza

121

cheerful, happy

-kunjufu

122

comrade(s)

ndugu

123

condition(s)

hali

124

to be cooked

kupikwa

125

to correct

kusahihisha

126

correctly

vizuri

127

to create

kuumba

128

cunning

-erevu

129

to cure

kuponya

130

danger

hatari

131

day before yesterday

juzi

132

deaf

-ziwi

133

to deliver

kutoa

134

to be destroyed

kuharibwa

135

doubt(s)

shaka (5, p: mashaka)

136

dream(s)

ndoto

137

to drown

kuzama

138

to be drunk

kulewa

139

to be drunk by

kunywewa

140

to be enough

kutosha

141

error(s), mistake(s)

kosa (5, p: makosa)

142

example(s)

mfano (3, p: mifano)

143

to be familiar with

kuzoea

144

fat

-nene

145

to feed

kulisha

146

few

-chache

147

to fight

kupigana

148

fireplace(s)

jiko (5, p: majiko)

149

to fish

kuvua

150

to be fixed

kutengenezwa

151

to follow

kufuata

152

to forgive

kusamehe

153

to be forgiven

kusamehewa

154

to be forgotten

kusahauliwa

155

garage

sehemu ya kulaza gari

156

to get better

kupona

157

gift(s)

zawadi

158

to be given

kupewa

159

God(s)

Mungu (3, p: mimungu)

160

great

-kuu

161

to be greeted

kusalimiwa

162

group(s)

kundi (5, p: makundi), kikundi (7, p: vikundI)

163

to grow (up, bigger)

kukua

164

to grow (hair, plants)

kuota

165

guard(s)

askari

166

hammer(s)

nyundo

167

to happen

kutokea

168

hill(s)

kilima (7, p: vilima)

169

to hit

kupiga

170

to be hit

kupigwa

171

to hunt

kuwinda

172

to be hurt, injured

kuumia

173

to hurt

kuuma, kuumiza

174

idea(s)

wazo (5, p: mawazo)

175

to improve

kuboresha

176

It is possible

Inawezekana

177

It will be necessary...

Itabidi

178

to join

kuunga

179

to jump

kuruka

180

last, final

-a mwisho

181

to lend

kukopesha

182

leopard(s)

chui

183

to let, to permit

kuruhusu

184

to be liked, loved

kupendwa

185

ma'am

bibi

186

to be made, manufactured

kutengenezwa

187

many more

nyingine nyingi

188

match(es)

kibiriti (7, p: vibiriti)

189

to mean

kumaanisha

190

meaning(s)

maana

191

to meet

kukutana

192

monkey(s)

kima

193

to be needed

kuhitajiwa

194

neighbor(s)

jirani (5, p: majirani)

195

to offer

kutoa

196

old (for people)

-zee

197

to be on fire

kuwaka

198

ought

afadhali

199

page(s)

ukurasa (p: kurasa)

200

peace

salama

201

to be possible

kuwezekana

202

to pray

kuomba

203

to ask for

kuomba

204

prison(s)

gereza (5, p: magereza)

205

pronunciation

matamshi

206

purple

zambarau

207

to push

kusukuma

208

to put

kutia, kuweka

209

to put to bed

kulaza