Swahili Vocab Flashcards
(71 cards)
1
Q
Kuelewa
A
To understand
2
Q
Aidha
A
So
2
Q
Kwa sababu hiyo
A
Because of that
2
Q
Hili linaonyesha kuwa
A
This shows that
2
Q
Japo
A
Even though
2
Q
Jamii
A
Society
2
Q
Mazingira
A
Environment
3
Q
Elimu
A
Education
3
Q
Afya
A
Health
4
Q
Ajira
A
Employment
5
Q
Ufisadi
A
Corruption
6
Q
Usawa
A
Equality
7
Q
Haki za binadamu
A
Human rights
8
Q
Maadili
A
Morals / Ethics
9
Q
Kwanza
A
Firstly
10
Q
Pili
A
Secondly
10
Q
Kwa kifupi
A
In short
11
Q
Hata hivyo
A
However
12
Q
Isitoshe
A
Moreover
13
Q
Kwa hivyo
A
Therefore
14
Q
Kwa upande mwingine
A
On the other hand
15
Q
Hatimaye
A
Finally
16
Q
Changamoto
A
Challenge
16
Q
Ni wazi kwamba
A
It’s clear that
17
Tukizingatia hayo
Considering this
18
Ushirikiano
Cooperation
18
Ufanisi
Efficiency
19
Ujuzi
Skill
20
Malengo
Goals/Objectives
21
Suluhisho
Solution
22
Madhara
Effects/Consequences
23
Mbinu
Method/Strategy
24
Ushawishi
Influece/Persuasion
24
Muafaka
Agreement/Consensus
24
Kwa upande wa pili
On the other hand
25
Vile vile
Likewise
26
Kwa kweli
Honestly
27
Kinyume na hayo
Contrary to that
28
Hii ina maana kwamba
This means that
28
Licha ya hayo
Despite that
29
Hii ina maana kwamba
This means that
30
Kwa maneno mengine
In other words
31
Tukizingatia hayo
considering that
31
Natumai uko salama
I hope you are well
32
Hii inathibitisha kuwa
This confirms that
32
Nilifurahi sana kupokea barua yako
I was very happy to receive your letter
33
Salamu nyingi kutoka Nairobi
Warm greetings from Nairobi
34
Tangu tuwasiliane mara ya mwisho
Since we last spoke
34
Hakika mambo yametulia upande wangu
Things are fine on my end
34
Kuna mengi ya kukueleza
I have a lot to tell you
35
Nimekuwa nikifikiria kuhusu
I've been thinking about
36
Kwa heshima na taadhima
With respect and courtesy
36
Ningependa kusikia kutoka kwako hivi karibuni
Hope to hear from you soon
37
Rejea: Ombi la ajira
Subject: Application for employment
38
Kupitia tangazo lililotolewa
Through the advertisement issued
39
Nimehitimu katika
I have qualified in
40
Niko tayari kuchangia
I am ready to contribute
40
Nimevutiwa na fursa hii
I am interested in this opportunity
41
Nimepata tajiriba katika
I have gained experience in
42
Msimamo wangu wa kazi
My work ethic
43
Kuwasiliana kwa ufanisi
Effective communication
44
Uwezo wa kushughulikia wateja
Ability to handle clients
44
Nitashukuru kwa nafasi ya mahojiano
I would appreciate an interview opportunity
45
Maendeleo
Development/Progress
46
Kuathiri
to affect
47
Kuathirika
to be affected
47
Ujumbe
message (main idea)
47
Msimamo
Stance / Position
47
Mtazamo
Perspective
47
Ushahidi
Evidence / Proof
48
Thamani
Value / Worth