Lesson 10: Family Flashcards
(63 cards)
1
Q
Jamaa/Familia
A
Family
2
Q
Babu
A
Grandfather
3
Q
Babu mkubwa/Babumkuu
A
Elder grandfather
4
Q
Nyanya/Bibi
A
Grandmother
5
Q
Nyanya mkubwa/Bibi mkubwa/Nyanyamkuu/Bibimkuu
A
Elder grandmother
6
Q
Mzazi
A
Parent
7
Q
Baba
A
Father
8
Q
Baba mkubwa/Babamkuu
A
Elder uncle (paternal)
9
Q
Baba mdogo
A
Younger uncle (paternal)
10
Q
Baba wa kambo
A
Stepfather
11
Q
Mama
A
Mother
12
Q
Mama mkubwa/Mamamkuu
A
Elder aunt (maternal)
13
Q
Mama mdogo
A
Younger aunt (maternal)
14
Q
Mama wa kambo
A
Stepmother
15
Q
Mke/Bibi
A
Wife
16
Q
Mume
A
Husband
17
Q
Mtoto/Mwana
A
Child
18
Q
Kaka
A
Brother
19
Q
Dada
A
Sister
20
Q
Ndugu
A
Sibling/Comrade/Friend
21
Q
Mzee
A
Elder
22
Q
Mjomba/Ami
A
Uncle [general, but normally paternal]
23
Q
Shangazi/Mbiomba
A
Aunt [maternal]
24
Q
Mpwa
A
Nephew
25
Binamu
Cousin
26
Binti
Daughter of
27
Bin
Son of
28
Mvulana
Boy
29
Msichana
Girl
30
Kijana
Youth/Teenager/Young man
31
Mkwe
In-law
32
Mama mkwe/Mavyaa
Mother-in-law
33
Baba mkwe/Bavyaa
Father-in-law
34
Mkaza/Mkaza mwana
Daughter-in-law
35
Shemeji/Mwamu
Sister-in-law/Brother-in-law [relative by marriage]
36
Wifi
Sister-in-law [brother's wife or husband's sister]
37
Mwanamke
Woman
38
Mwanamume
Man
39
Kifungua mimba
First born child
40
Kitinda mimba/Kifunga mimba
Last born child
41
Mjukuu
Grandchild
42
Kitukuu
Great grandchild
43
Kinying'inya
Great great grandchild
44
Kilembwe
Great great great grandchild
45
Kilembwekeza
Great great great great grandchild
46
Kitojo
Great great great great great grandchild
47
Mwanyumba
Different men who have married blood sisters
48
Wakewenza
Co-wives
49
Nina
I have
50
Sina
I don't have
51
Pekee
Only
52
Tu
Only/Just
53
Ngapi?
How many?
54
Una kaka?
Do you have a brother?
55
La, sina kaka lakini nina dada.
No, I don't have a brother, but I have a sister.
56
Kaka yako anasoma nini?
What does your brother study?
57
Kaka yangu anasoma elimu ya siasa.
My brother studies political science.
58
Kaka yako ana miaka mingapi?
How old is your brother?
59
Kaka yangu ana miaka ishirini na minane.
My brother is 28 years old.
60
Una kaka/dada wangapi?
How many brothers/sisters do you have?
61
Nina kaka moja na dada wawili.
I have one brother and two sisters.
62
Mimi ni mtoto wa pekee.
I am an only child.
63
Mimi ni kifungua mimba na kifunga mimba.
I am the first and last born.