Lesson 9c: M-Mi Noun Class Flashcards
1
Q
Mti
A
Tree
2
Q
Miti
A
Trees
3
Q
Mnazi
A
Coconut tree
4
Q
Minazi
A
Coconut trees
5
Q
Mchungwa
A
Orange tree
6
Q
Michungwa
A
Orange trees
7
Q
Mwembe
A
Mango tree
8
Q
Miembe
A
Mango trees
9
Q
Mtofaa
A
Apple tree
10
Q
Mitofaa
A
Apple trees
11
Q
Mpapai
A
Papaya tree
12
Q
Mipapai
A
Papaya trees
13
Q
Mndimu
A
Lime tree
14
Q
Mindimu
A
Lime trees
15
Q
Mpera
A
Guava tree
16
Q
Mipera
A
Guava trees
17
Q
Mgomba
A
Banana tree
18
Q
Migomba
A
Banana trees
19
Q
Mmea
A
Plant
20
Q
Mimea
A
Plants
21
Q
Mdomo
A
Mouth
22
Q
Midomo
A
Mouths
23
Q
Mkono
A
Hand
24
Q
Mikono
A
Hands
25
Mguu
Leg
26
Miguu
Legs
27
Mfupa
Bone
28
Mifupa
Bones
29
Mgongo
Back
30
Migongo
Backs
31
Moyo
Heart
32
Mioyo
Hearts
33
Mwili
Body
34
Miili
Bodies
35
Mfano
Example
36
Mifano
Examples
37
Mji
City
38
Miji
Cities
39
Mkoba/Mfuko
Bag
40
Mikoba/Mifuko
Bags
41
Mlango
Door
42
Milango
Doors
43
Mtihani
Exam
44
Mitihani
Exams
45
Mjarabu
Test
46
Mijarabu
Tests
47
Mlima
Mountain
48
Milima
Mountains
49
Mpira
Ball
50
Mipira
Balls
51
Mkate
Bread
52
Mikate
Breads
53
Mto
River
54
Mito
Rivers
55
Mungu
God
56
Miungu
Gods
57
Mchezo
Game
58
Michezo
Games
59
Moto
Fire
60
Mioto
Fires
61
Msikiti
Mosque
62
Misikiti
Mosques
63
Msitu
Forest
64
Misitu
Forests
65
Mswaki
Toothbrush
66
Miswaki
Toothbrushes
67
Mto
River/Pillow
68
Mito
Rivers/Pillows
69
Mwaka
Year
70
Miaka
Years
71
Mwavuli
Umbrella
72
Miavuli
Umbrellas
73
Mwezi
Month
74
Miezi
Months
75
Mwiba
Thorn
76
Miiba
Thorns
77
Mwisho
End
78
Miisho
Ends
79
Muhindi
Corn
80
Mihindi
Corn [pl.]
81
Muhogo
Cassava
82
Mihogo
Cassavas
83
Muwa
Sugarcane
84
Miwa
Sugarcane [pl.]
85
Mti ulianguka.
The tree fell.
86
Miti ilianguka.
The trees fell.
87
Mkono unauma.
The hand hurts.
88
Mikono inauma.
The hands hurt.
89
Mkoba umeoshwa.
The bag has been washed.
90
Mikoba imeoshwa.
The bags have been washed.