Lesson 20: Foods Flashcards
(106 cards)
1
Q
Chakula
A
Food
2
Q
Vyakula
A
Foods
3
Q
Mboga
A
Vegetable/Vegetables
4
Q
Dengu
A
Lentils
5
Q
Jibini
A
Cheese/Cheeses
6
Q
Kabeji/Kabichi
A
Cabbage/Cabbages
7
Q
Kiazi
A
Potato
8
Q
Viazi
A
Potatoes
9
Q
Haragwe
A
Bean
10
Q
Maharagwe
A
Beans
11
Q
Mahindi
A
Corn
12
Q
Mahindi ya kuchoma
A
Roasted corn
13
Q
Mbaazi
A
Pea/Peas
14
Q
Mchele
A
Uncooked rice
15
Q
Wali
A
Cooked rice
16
Q
Mchicha
A
Spinach
17
Q
Mchuzi
A
Soup
18
Q
Michuzi
A
Soups
19
Q
Muhogo
A
Cassava
20
Q
Mihogo
A
Cassavas
21
Q
Nyama
A
Meat/Meats
22
Q
Nyama ya kondoo
A
Mutton
23
Q
Michicha
A
Spinaches
24
Q
Nyama ya kuku
A
Chicken meat
25
Nyama ya mbuzi
Goat meat
26
Nyama ya ng'ombe
Beef
27
Nyama ya nguruwe
Pork
28
Nyama ya kuchoma
Roasted/grilled meat
29
Kuku
Chicken
30
Samaki
Fish
31
Pilipili
Pepper
32
Pilipili hoho
Chili pepper
33
Pilipili manga
Black pepper
34
Pilipili saumu
Pepper garlic
35
Pilipili kichaa
Hot pepper
36
Siagi
Butter
37
Sukuma wiki
Collard greens
38
Unga
Flour
39
Unga wa mahindi
Corn flour
40
Unga wa ngano
Wheat flour
41
Yai
Egg
42
Mayai
Eggs
43
Vitafunio
Snacks
44
Mkate
Bread
45
Mikate
Breads
46
Mandazi
Bun/Buns
47
Sandwichi
Sandwich
48
Kimanda
Toast
49
Chapati
Indian flat bread
50
Ugali
Stiff cornmeal porridge
51
Njugu
Groundnut/Peanuts
52
Karoti
Carrot/Carrots
53
Choroko
Green peas
54
Njegere
Pigeon peas
55
Bamia
Okra
56
Kisamvu
Cassava leaves
57
Figo
Kidney/Kidneys
58
Maini
Liver/Livers
59
Matumbo
Intestine/Intestins/Tripe
60
Mbatata
Irish potatoes
61
Biringani
Eggplant
62
Mabiringani
Eggplants
63
Saladi
Salad
64
Brokoli
Broccoli
65
Pasta
Pasta
66
Pizza
Pizza
67
Pipi
Candy
68
Chokoleti
Chocolate
69
Isikirimu
Ice cream
70
Keki
Cake
71
Mgando
Yogurt
72
Mchanganyiko
Mixture
73
Supu
Soup
74
Uyoga
Mushroom
75
Uji
Porridge
76
Viazi vikuu
Sweet potatoes
77
Kaimati
Fritter/Fritters
78
Pilau
Pilaf
79
Sambusa
Samosa/Samosas
80
Kande
Dish of mixed corn and beans
81
Ndizi
Banana/Bananas
82
Kibanzi
French fry
83
Chipsi/Vibanzi
French fries
84
Borohoa/Vihembe
Thick broth of cooked beans
85
Kiungo
Spice
86
Viungo
Spices
87
Bizari
Curry powder
88
Kitunguu
Onion
89
Kitunguu saumu
Garlic
90
Vitunguu saumu
Garlics
91
Nyanya
Tomatoes
92
Mafuta
Oil
93
Chumvi
Salt
94
Sukari
Sugar
95
Ikili
Cardamom
96
Mdalasini
Cinnamon
97
Tangawizi
Ginger
98
Magadi
Baking soda
99
Lavani
Vanilla
100
Giligilani
Coriander seed
101
Mgiligilani
Cilantro
102
Karafuu
Clove/Cloves
103
Pia
Also/Too
104
Wewe unapenda kula chakula gani?
What food do you like to eat?
105
Mimi ninapenda kula chipsi.
I like to eat french fries.
106
Wewe unapenda kununua chakula gani?
What food do you like to buy?