Lesson 22: Drinks Flashcards
1
Q
Kinywaji
A
Drink
2
Q
Vinywaji
A
Drinks
3
Q
Chai
A
Tea
4
Q
Kahawa
A
Coffee
5
Q
Pombe
A
Alcohol
6
Q
Maji
A
Water
7
Q
Jusi
A
Juice/Fruit juice
8
Q
Maji ya zabibu
A
Grape juice
9
Q
Maji ya ukwaju
A
Tamarind juice
10
Q
Maji ya chenza
A
Tangerine juice
11
Q
Maji ya limao/limau
A
Lemonade
12
Q
Maji ya machungwa
A
Orange juice
13
Q
Maji ya maembe
A
Mango juice
14
Q
Maji ya mapera
A
Guava juice
15
Q
Maji ya ndimu
A
Lime juice
16
Q
Maji ya matofaa
A
Apple juice
17
Q
Maji ya mananasi
A
Pineapple juice
18
Q
Maji ya nazi
A
Coconut juice
19
Q
Maji ya matunda ya karakara
A
Passion fruit juice
20
Q
Maziwa
A
Milk
21
Q
Soda
A
Soda
22
Q
Mvinyo/Divai
A
Wine
23
Q
Spiriti
A
Spirits
24
Q
Wiski
A
Whiskey
25
Vodka
Vodka
26
Jin
Gin
27
Rum
Rum
28
Tembo
Palm wine
29
Chang'aa
Illicit liquor
30
Mnazi
Coconut wine
31
Ulanzi
Bamboo wine
32
Muwa/Boha
Traditional sugarcane rum
33
Kangara
Maize and honey wine
34
Chai ya maziwa
Milk tea
35
Kikombe cha chai
Cup of tea
36
Glasi ya mvinyo
Glass of wine
37
Mlevi
Drunkard
38
Pombe kali
Hard alcohol
39
Baa
Bar
40
Chupa
Bottle
41
Mkebe
Tin/Can
42
Pakiti
Packet
43
Kunywa
To drink
44
Chochote
Any
45
Vyote
All
46
Barafu
Ice
47
Unapenda kinywaji gani?
What kind of drink do you like?
48
Unapenda kunywa nini?
What do you like to drink?
49
Rafiki yako anapenda kunywa nini?
What does your friend like to drink?
50
Unapenda kunywa pombe gani?
What alcohol do you like to drink?