Lesson 26: Colors Flashcards
1
Q
Eupe
A
White
2
Q
Eusi
A
Black
3
Q
Ekundu
A
Red
4
Q
Samawi/Samawati/Bluu
A
Sky blue
5
Q
Rangi ya manjani/Rangi ya kibichi
A
Green (color of leaves)
6
Q
Rangi ya machungwa
A
Orange
7
Q
Rangi ya kijivujivu
A
Gray
8
Q
Rangi ya kahawa/Rangi ya maji ya kunde
A
Brown (color of coffee)
9
Q
Rangi ya manjano
A
Yellow
10
Q
Rangi ya zambarau
A
Purple
11
Q
Rangi ya shaba
A
Bronze
12
Q
Rangi ya fedha
A
Silver
13
Q
Rangi ya dhahabu
A
Gold
14
Q
Rangi ya almasi
A
Diamond
15
Q
Rangi ya urujuani
A
Violet
16
Q
Rangi ya bluu
A
Blue
17
Q
Rangi ya hudhurungi
A
Mustard
18
Q
Rangi ya waridi
A
Pink
19
Q
Rangi ya giza
A
Dark color
20
Q
Rangi ya mwangaza
A
Light color
21
Q
Angirangi
A
Multi-colored
22
Q
Rangi ya samli
A
White
23
Q
Rangi ya bluu giza
A
Dark blue
24
Q
Rangi ya bluu mwangaza
A
Light blue
25
Rangi ya manjani giza
Dark green
26
Rangi ya manjani mwangaza
Light green
27
Rangi ya nili
Dark blue
28
Umevaa nguo za rangi gani?
What are the colors of the clothes you have on?
29
Nimevaa nguo za rangi nyeusi na kijani.
I am wearing black and green colored clothes.
30
Rangi za upinde wa mvua ni gani?
What are the colors of the rainbow?
31
Rangi za upinde wa mvua ni nyekundu, machungwa, manjano, kibichi, samawi, nili, na urujuani.
The colors of the rainbow are red, orange, yellow, green, blue, indigo, and violet.
32
Mvulana mweupe
White boy
33
Mvulana mweusi
Black boy
34
Mvulana mwekundu
Red boy
35
Kitu cheupe
White thing
36
Kitu cheusi
Black thing
37
Kitu chekundu
Red thing
38
Nguo nyeupe imenunuliwa.
The red cloth has been bought.
39
Watoto weupe wanalala kitandani.
The white children are sleeping in bed.
40
Mipira ya Mike ni mieusi.
Mike's balls are black.
41
Rangi ya theluji ni nyeupe.
The color of snow is white.