Eupe
White
Eusi
Black
Ekundu
Red
Samawi/Samawati/Bluu
Sky blue
Rangi ya manjani/Rangi ya kibichi
Green (color of leaves)
Rangi ya machungwa
Orange
Rangi ya kijivujivu
Gray
Rangi ya kahawa/Rangi ya maji ya kunde
Brown (color of coffee)
Rangi ya manjano
Yellow
Rangi ya zambarau
Purple
Rangi ya shaba
Bronze
Rangi ya fedha
Silver
Rangi ya dhahabu
Gold
Rangi ya almasi
Diamond
Rangi ya urujuani
Violet
Rangi ya bluu
Blue
Rangi ya hudhurungi
Mustard
Rangi ya waridi
Pink
Rangi ya giza
Dark color
Rangi ya mwangaza
Light color
Angirangi
Multi-colored
Rangi ya samli
White
Rangi ya bluu giza
Dark blue
Rangi ya bluu mwangaza
Light blue