Causative Flashcards

0
Q

he has filled three baskets with potatoes

A

amejaza vikapu vitatu kwa viazi

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
1
Q

heat up this food

A

pasha moto chakula hiki

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
2
Q

we have fed the children early, today

A

tumelisha watoto mapema leo

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
3
Q

those laborers have felled many trees, over there

A

vibarua wale wameangusha miti mingi, kule

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
4
Q

many trees have been felled by those laborers

A

miti mingi imeangushwa na vibarua wale

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
5
Q

these people were compelled to go, today

A

watu hawa walilazimishwa kwenda leo

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
6
Q

heat up these potatoes

A

pasha moto viazi hivi

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
7
Q

don’t drop that load, she is feeding her child

A

usishushe mzigo ule, analisha mtoto wake

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
8
Q

dry these clothes quickly

A

kausha vitambaa hivi upesi/kwa haraka

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
9
Q

their salaries have been reduced

A

mishahara yao imepunguzwa

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
10
Q

prepare this room for the guest

A

tayarisha chumba hiki kwa mgeni

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
11
Q

my arm is itching

A

mkono wangu unawasha

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
12
Q

he will get married on Sunday

A

ataoa Jumamosi

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
13
Q

y’all listen to your teacher

A

sikilizeni mwalimu wenu

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
14
Q

boil the potatoes for only a small period of time

A

chemsha viazi kwa muda mdogo tu

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
15
Q

that teacher is teaching the blind children to read with their fingers

A

mwalimu yule anafundisha watoto vipofu kusoma kwa vidole vyao

16
Q

your book was returned yesterday

A

kitabu chako kilirudishwa jana

17
Q

visitors are very pleased with the mountains of Tanzania

A

wageni wanapendezwa sana kwa milimu ya Tanzania

18
Q

when did you lose your pocket knife

A

lini ulipoteza kisu chako cha mfukoni

19
Q

send this basket back to the farmer

A

rudisha kikapu hiki kwa mkulima

20
Q

my servant has failed to put the furniture straight

A

mtumishi wangu amesahau kusawazisha vyombo

21
Q

those loads were lowered slowly because they were heavy

A

mizigo ile ilitelemeshwa polepole kwa sababu ilikuwa mizito sana

22
Q

would you prepare that room for my guest?

A

utayarishe chumba kile kwa mgeni wangu

23
Q

don’t wake the children up early tomorrow

A

usiamshe watoto mapema kesho

24
Q

return this knife, i am loosening this nail

A

rudisha kisu hiki, ninalegeza msumari huu

25
Q

the pastor is marrying a woman, today

A

mchungaji anaoza mwanamke leo

26
Q

would you dress the child please?

A

uvalishe mtoto, tafadhali

27
Q

get this chit to mr. mohamed

A

fikisha chety hiki kwa bwana mohamedeni

28
Q

this book has explained many things

A

kitabu hiki kimeeleza vitu vingi

29
Q

erect this pole over there

A

simamisha mti huu pale

30
Q

i have lost my umbrella

A

nimepoteza mwavuli wangu

31
Q

that fire is burning well

A

moto ule unawaka sana

32
Q

go feed those animals

A

nenda kulisha wanyama wale

33
Q

To improve the efficiency of organizations

A

Kuboresha ufanisi wa mashirika