83 - Kuumwa Na Nyoka Flashcards

1
Q

Therefore, first aid must be done extremely quickly right there where the person was bitten to prevent the poison from entering further into the body. So, if by luck you are there where the person has been bitten, do thus.

A

Kwa hiyo, msaada wa kwanza lazima ufanyike upesi kabisa pale pale mtu alipomwa kuzuia sumu ili isiingie zaidi mwilini. Basi Kama kwa bahati upo pale ambapo mtu ameumwa fanya hivi.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
2
Q

1st step. Fasten on him a rope, string, or cloth very speedily, or whatsoever you have. Fasten it on the leg or arm which was bitten near the wound, but on the side of the heart. Thus, you will prevent the poison from passing further inside the blood vessels.

A

Hatua ya kwanza: mfunge kamba, uzi au kitambaa upesi sana, au cho chote ulicho nacho. Ifunge katika mguu au mkono ulioumwa karibu na jeraha, lakini upande wa moyo. Hivyo, utazuia sumu isipite zaidi ndani ya mishipa ya damu.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
3
Q

Second step: lie the person down so that he is not standing.
Third step: take a knife, cut him/her there on the wound until it bleeds. You must cut quite firmly so that blood comes out in quantity.

A

Hatua ya pili: mlaze mtu chini, asisimame.
Hatua ya tatu: chakua kisu mkate pale penye jeraha mpaka itoke damu. Ni lazima ukate kwa nguvu kidogo ili damu itoke kwa wingi.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
4
Q

4th step: use ingenuity to prevent the person from being afraid. Give him heart, also, tell him that he will be helped to recover.
5th step: tie up the wound with a cloth with salty water.
6th step: send the patient to the hospital as quickly as possible.

A

Hate ya nne: tumia maarifa kuzuia mtu asiogope. Mpe moyo, Pia, mwambie kwamba atasaidiwa kupona.
Hatu ya tanu: funga jeraha kwa kitambaa chenye maji ya chumvi.
Hatu ya Sita: mpeleke mgonjwa hospitali kwa haraka iwezekanavyo.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
5
Q

If he gets the poison in the eye from a snake, clean his eye for him with either plenty of water or with milk. Then, bandage his eye with a cloth soaked in cold water, then send him to the hospital, too.

A

Kama mtu akipata sumu jichoni na nyoma, msafishie jicho lake ama kwa maji mengi, ama kwa maziwa. Halafu, mfungie jicho kwa kitambaa kilichowekwa maji baridi, baadaye mpeleke hospitali vilevile.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
6
Q

Although Snakes with poison are few in this country, it is better to follow these first aid tips than to leave a person bitten to die.

A

Ingawa nyoka wenye sumu ni wachache katika nchi hii, ni bora kufuata hatua hizo za msaada wa kwanza kuliko kumwacha aliyeumwa afe.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
7
Q

If a snake bites a person, it inserts poison by means of its teeth until it enters small blood vessels. In there, it passes quickly into larger blood vessels and spreads over the whole body.

A

Nyoka akimwuma mtu, huingiza sumu kwa meno yake mpaka iingie ndani ya mishipa midogo ya damu. Humo yapita upesi mpaka ndani mishipa mikubwa zaidi na kuenea katika mwili mzima.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly