87 - Safari Yetu Flashcards

1
Q

So, we came back home again. On the way, we passed two men who were planting maize seeds.

A

Basi, tukarudi nyumbani, tena. Njiani, tukapita wanaume wawili waliokuwa wakipanda mbegu za mahindi.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
2
Q

Why are you planting now, we asked, and they replied, ‘we always plant our seeds this month on account of the rain which comes early this side of the valley. We continued on our way.

A

‘Kwa nini mnapanda sasa’ tukauliza, wakajibu, ‘sisi hupanda mbegu zetu mwezi huu kwa ajili ya mvua ijayo mapema upande huu wa bonde’. Tukaendelea zetu.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
3
Q

After walking for about 4 hours we got very tired and sat under a tree in the pleasant shade. My companion said to me, “I need some food. Do you think any food at all is obtainable about here?”

A

Baada ya kutembea kwa muda wa saa nne hivi, tukachoka sana tukakaa/keti chini ya mti kivulini mzuri (katika kivuli kizuri). Mwenzangu akaniambia, “nahitaji chakula. Unafikiri chakula cho chote kinapatekana huku?”

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
4
Q

I don’t know, I answered him. Go and ask that farmer there if he can tell you where we shall be able to get some.

A

“Sijui,” nikamjibu “nenda ukamwulize mkulima Yule pale kama anaweza kutuambia tutakapoweza kukipata.”

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
5
Q

So he went to ask that farmer who told him that there was a shop in the village which was very suitable for a meal. So we continued to walk to the village where we saw the shop and satisfied ourselves with food, and went in our way.

A

Basi akaenda kumwuliza yule mkulima aliyemwambia kwamba palikuwa na duka kijijini lililofaa sana kwa chakula. Basi tukaendelea kutembea kijijini tulipoliona duka, tukashiba tukaenda zetu.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
6
Q

The other day, we went to see my friend called Hamisi, who lives near the Ruvu river. When we got there, we saw that he had gone away to Mombasa.

A

Juzijuzi tulikwenda kumwona rafiki yangu aitwaye Hamisi, akaaye karibu na mto wa Ruvu. Tulipofika pale, tukaona kwamba alikuwa amekwenda Mombassa.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly