Exercise 51 - Compound Adjectives Flashcards

1
Q

The first child will get a book, the second, money.

A

Mtoto wa kwanza atapata kitabu, wa pili atapata pesa.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
2
Q

Some people are unable to eat euro type food

A

Watu wengine hawawezi kula chakula cha Kizungu

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
3
Q

It is a necessary thing that all farmers follow modern agriculture.

A

Ni kitu cha lazima wakulima wote wafuate kilimo cha kisasa.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
4
Q

His right arm is broken for the second time.

A

Mkono wake wa kulia umevunjika kwa mara ya pili

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
5
Q

Give me a carving knife. They have gone to look at the vessel for measuring rain.

A

Nipe kisu cha kukatia. Wamekwenda kutazama (kuangalia) chombo cha kupimia mvua (OR kipimo cha mvua)

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
6
Q

We do not want native type hens. We we need European type.

A

Hatutaki/hatupendi kuku wa kienyeji; tunahitaji wa Kizungu

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
7
Q

Children’s clothes are not obtainable in town.

A

Nguo za kitoto hazipatikani mjini

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
8
Q

He told us first thing

A

Alituambia kitu cha kwanza

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
9
Q

It is a very pleasant thing to go on safari and to see wild animals.

A

Ni kitu cha kupendeza sana kwenda safarini kuona wanyama wa porini/mwitu.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
10
Q

I have bought an old Masai spear.

A

Nimenunua mkuki wa zamani wa kimasai.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
11
Q

That cow has borne her second female offspring.

A

Ng’ombe yule amezaa mtoto wa kike wa pili

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
12
Q

People must not have secret meetings.

A

Lazima watu wasiwe na mikutano ya siri.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
13
Q

There is a free book for showing all these things.

A

Kuna kitabu cha bure kuonyesha vitu vyote hivi

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
14
Q

His right leg is broken

A

Mguu wake wa kulia umevunjika.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
15
Q

You are paid sufficient wages

A

Mnalipwa mishahara ya kutosha.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
16
Q

Indian food is generally hot.

A

Chakula cha kihindi ni kikali kwa kwaida

17
Q

I want some writing paper

A

Ninataka karatisi ya kuandika barua

18
Q

He is a member of a secret society. They have started the fourth game now.

A

Yu mwanachama wa chama cha siri. Wameanza mchezo wa nne sasa.

19
Q

I need something to open this door as it does not open.

A

Ninahitaji kitu cha kufungulia mlango huu kwa sababu haunfunguki.

20
Q

That person has a pleasant wife.

A

Mtu Yule Ana mke wa kupendeza.

21
Q

Give those children enough food.

A

Wape watoto wale chakula cha kutosha