Exercise 61 - Negative Relatives Flashcards

1
Q

People who don’t smoke have much strength

A

Watu wasiovuta (ambao hawavuti) sigara wana nguvu nyingi

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
2
Q

The thief who didn’t get caught lives in the bush, now

A

Mwizi asiyekamatwa (mwizi ambaye hakukamatwa) anakaa porini sasa

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
3
Q

The children who will not come are those who cannot read

A

Watoto wasioja ni wale ambao hawajui kusoma

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
4
Q

This is a muslim who doesn’t eat beef

A

Huyu ni mwislamu asiyekula (ambaye hali) nyama ya ngombe.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
5
Q

There is another vehicle which hasn’t arrived

A

Kuna/pana gari lingine (lisilofika) ambalo halijafika

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
6
Q

I shall destroy the trees which do not bear

A

Nitaharibu miti isiyozaa (ambayo haizai)

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
7
Q

There were a few women who did not go away

A

Kulikuwa na wanawake wachache ambao hawakuondoka (wasioondoka)

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
8
Q

I don’t like flowers which do not smell nice

A

Sipendi maua hasiyonukia (ambayo hayanukii)

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
9
Q

Call the labourors who have not given me their chit

A

Uwaite vibarua wasionipa (ambao hawajanipe) vyeti vyao

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
10
Q

I don’t need workers who don’t try hard

A

Sihitaji vibarua (wasiofanya) ambao hawafanyi sana

Sihitaji mtu asiyejaribu sana (ambaye hajaribu)

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
11
Q

We shall use the trees which were not felled another year

A

Tutatumia miti isiyoangushwa mwaka mwingine

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
12
Q

Make the beds now which you didn’t make in the morning

A

Tandika vitanda sasa ambavyo hukutandika (usivyotandika) asubuhi hii

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
13
Q

I’ll try again the exam I didn’t pass again in January

A

Nitajaribu tena mtihani nisiofaula mwezi wa January

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
14
Q

Those who did not go yesterday may go today

A

Wale wasiokwenda jana, waende leo

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
15
Q

The luggage which did not arrive yesterday will be brought later

A

Mizigo isiyofika jana italetwa baadaye

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
16
Q

Those who were not here yesterday should read this paper

A

Wale wasiokuwa hapa jana, wasome karatisi hii

17
Q

One leg broke, but the one which did not break has a very bad sore

A

Mguu mmoja ulivunjika, lakini ule usiovunjika una kidonda kibaya sana

18
Q

There is a meeting today for those who do not know reading and writing

A

Pana mkutano leo kwa wale wasiojua kusoma na kuandika

19
Q

That animal who didn’t eat its food is sick

A

Mnyama yule asiyekula chakula chake ni mgonjwa

20
Q

We must speak swahili on account of these who cannot speak English

A

Lazima tuseme kiswahili kwa ajili ya hawa wasioweza kusema kiingareza

21
Q

The letters written yesterday are lost

A

Barua zilizoandikwa jana zimepotea

22
Q

The women who will arrive tomorrow are teachers

A

Wanawake watakaofika kesho ni walimu

23
Q

The plants planted by that farmer in march will not do

A

Mimea iliyopandwa na mwalimu yule mwezi wa tatu haitafaa

24
Q

The mountain he has not yet climbed is kilimanjaro

A

Mlima ambao yeye hajaupanda ni kilimanjaro

25
Q

This water which was brought by Ali has become dirty

A

Maji haya yaliyoletwa na Ali yamekuwa machafu

26
Q

The flower which he brought me has a very nice smell

A

Ua alilonileta linanukia sana

27
Q

The society which opened yesterday is for men only

A

Chama ambacho kilifunguliawa jana ni kwa wanaume tu

28
Q

I cannot today, because the food I ate yesterday was bad

A

Siwezi leo, kwa sababu chakula nilichokula jana kilikuwa kibaya

29
Q

The language we are learning is not hard like English

A

Lugha tunayojifunza si ngumu kama kiingareza

30
Q

Those who went to Dodoma the day before yesterday, wait outside

A

Wote wasiokwenda Dodoma juzi wangoje nje