88 Flashcards

1
Q

When that day arrived, I took all my things and went to the airport (aeroplane grounds) and waited to board the aircraft. Unfortunately, the aircraft was a little late, but it eventually departed at 630p.

A

Siku hiyo ilipofikia, nilichukua vitu vyangu vyote nikaenda katika kiwanja cha ndege nikangoja kupanda ndege. Kwa bahati mbaya, ndege ikachelewa kidogo, lakini mwishoni ikaondoka saa kumi na mbili na nusu jioni.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
2
Q

It was a very strong aircraft which went with fierce speed and very high, too. But because it was night time, I was unable to see anything until dawn the next day.

A

Ilikuwa ndege yenye nguvu nyingi iliyokwenda kwa mwendo mkali na juu sana Pia. Lakini kwa sababu ilikuwa wakati wa usiku, sikuweza kuona cho chote mpaka alfajiri siku iliyofuata (kesho yake).

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
3
Q

When I saw Nairobi below us, I was very happy, and after a few minutes, the aircraft descended to arrive in Nairobi, which is called the city in the sun. After my luggage was looked at, I was given permission to leave, I boarded a vehicle which took me into town, and there I walked about a little then went to have a rest.

A

Nilipoona Nairobi chini yetu, nikafurahi sana, na baada ya dakika chache ndege ikatetelemka kufika Nairobi, iitwayo ‘mji juani’. Baada ya kuangaliwa mizigo yangu, nikapewa ruhusa kutoka, nikapanda gari lililonipeleka mjini, na pale nikatembea kidogo halafu nikaenda kupumzika.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly
4
Q

After hearing that I had been given this job, I went to pack my luggage so as to be ready to leave at any time. When I heard the date of my journey, which was the 31st August, I told all my friends that I was going to a country called Kenya.

A

Baada ya kusikia kwamba nikikuwa nimepewa kazi hii, nikaendea kufunga mizigo yangu niwe tayari kuondoka wakati wo wote. Niliposikia tarehe ya safari yangu, iliyokuwa tarehe thelathini na moja ya mwezi wa nane (Agosti), niliwaambia rafika zangu wote kwamba ningekwenda katika nchi iitwayo Kenya.

How well did you know this?
1
Not at all
2
3
4
5
Perfectly