Lesson 3: Classroom Vocabulary Flashcards Preview

Kiswahili > Lesson 3: Classroom Vocabulary > Flashcards

Flashcards in Lesson 3: Classroom Vocabulary Deck (49):
1

mlango/milango

door/s

2

dirisha/madirisha

window/s

3

taa/taa

light/s

4

ubao/mbao

board/s

5

kompyuta/kompyuta

computer/s

6

kiti/viti

chair/s

7

meza/meza

table/s

8

kalamu/kalamu

pen/s

9

penseli/penseli

pencil/s

10

mkoba/mikoba

backpack/s

11

mfuko/mifuko

backpack/s

12

kitabu/vitabu

book/s

13

daftari/madaftari

notebook/s

14

kabati/makabati

cupboard/s

15

rula/rula

ruler/s

16

ufutio/futio

eraser/s

17

ukuta/kuta

wall/s

18

sakafu/sakafu

floor/s

19

dari/dari

ceiling/s

20

paa/paa

roof/s

21

simu/simu

telephone/s

22

karatasi/karatasi

paper/s

23

jaa/jaa

trash can/s

24

chaki/chaki

chalk

25

zulia/mazulia

carpet/s

26

swichi

light switch

27

swichi ya feni

fan switch

28

swichi ya taa

light swich

29

mwanafunzi/wanafunzi

student/s

30

mwalimu/walimu

teacher/s

31

kalenda/kalenda

calendar/s

32

saa/saa

clock/s

33

saa ya ukuta

wall clock

34

ramani/ramani

map/s

35

kiyoyozi/viyoyozi

air conditioner/s

36

picha/picha

picture/s

37

mchoro/michoro

drawing/s

38

pazia/mapazia

curtain/s

39

runinga/televisheni

television/s

40

deski/dawati

desk/s

41

gazeti/magazeti

newspaper/s

42

Darasa hili lina vitu gani?

What things does this classroom have?

43

Hii ni nini?

What is this?

44

Huu ni nini?

What is this?

45

Hupendi mapambo gani?

Which decorations don't you like?

46

Darasa hili lina meza, mkoba ...

This classroom has a table, backpack...

47

Hii ni meza.

This is a table.

48

Huu ni ukuta.

This is a wall.

49

Sipendi meza, mkoba ...

I don't like the table, the backpack...

Decks in Kiswahili Class (92):