Lesson 28: Proverbs Flashcards Preview

Swahili > Lesson 28: Proverbs > Flashcards

Flashcards in Lesson 28: Proverbs Deck (38)
Loading flashcards...
1
Q

Pole pole ndio mwendo.

A

Slow, slow is the way to go.

2
Q

Haraka haraka haina baraka.

A

Hurry,hurry has no blessings.

3
Q

Mtu ni watu.

A

A person is people. (help & community)

4
Q

Tisa karibu na kumi.

A

Nine is near ten. (Don’t give up)

5
Q

Baba wa kambo si baba.

A

A step-father is not the father.

6
Q

Akili ni mali.

A

Intelligence is wealth.

7
Q

Haba na haba hujaza kibaba.

A

Little by little fills the container.

8
Q

Hasira hasara.

A

Anger is loss.

9
Q

Mtoto wa nyoka ni nyoka.

A

The child of a snake is a snake.

10
Q

Adui mpende.

A

Love your enemy.

11
Q

Dawa ya moto ni moto.

A

The cure for fire is fire. / Fight fire with fire.

12
Q

Nyumba nzuri si mlango.

A

A good house is not determined by its door.

13
Q

Kuuliza si ujinga.

A

Asking is not ignorance.

14
Q

Asiyesikia la Mkuu huvunjika guu.

A

One who does not listen to the elders breaks his leg.

15
Q

Bidii haiondoi amri ya Mungu.

A

Effort does not remove God’s directive.

16
Q

Chovya chovya humaliza buyu la asali.

A

Dipping a finger to taste repeatedly depletes a jar full of honey.

17
Q

Furaha/ujanja wa nyani huishia jangwani.

A

The happiness/tricks of a monkey end in the desert.

18
Q

Mchovya hachovyi mara moja.

A

The dipper does not dip once.

19
Q

Mgema akisifiwa tembo hulitia maji.

A

If the winetapper is praised, he puts water in the wine.

20
Q

Mtaka cha mvunguni sharti ainame.

A

One who wants something under (the bed) must bend over.

21
Q

Mungwana ni kitendo.

A

A good person is (so viewed) by their actions.

22
Q

Polepole za kombe zilimfikisha mbali.

A

Slow slow of the tortoise made him reach far.

23
Q

Subira huvuta heri.

A

Patience begets blessedness.

24
Q

Ukiona vyaelea jua vimeundwa.

A

When you see them afloat, know they have been made.

25
Q

Ukistaajabu vya Musa utaona vya Firauni.

A

When you are astonished by the story of Moses, you will learn about pharaoh.

26
Q

Damu ni nzito kuliko maji.

A

Blood is thicker than water.

27
Q

Mungu si Athumani.

A

God is not Athumani. / God does not choose favorites.

28
Q

Uislamu si kilemba cheupe.

A

Islam is not a white turban.

29
Q

Kaa nao ujuwe tafsiri zao.

A

Stay with them to know their translations/interpretations.

30
Q

Vyote ving’aavyo usifikiri ni dhahabu.

A

All that glitters is not gold.

31
Q

Kuishi kwingi ni kuona mengi.

A

The longer a person lives on earth, the more he sees; The older the person, the more the experience; There is wisdom in age.

32
Q

Akili ni nywele kila mtu ana zake

A

Brains are like hair: each person has his/her own.

33
Q

Mtegemea cha ndugu hufa yungali maskini.

A

He who relies on his brother’s property dies poor.

34
Q

Mstahimilivu hula mbivu.

A

The patient person eats that which is ripe.

35
Q

Maskini akipata matako hulia bwata.

A

When a poor man becomes rich his buttocks jiggle.

36
Q

Kilicho na mwanzo kina mwisho; Hakuna yasiyokuwa na mwisho.

A

Everything that has a beginning must have an end.

37
Q

Ukitaka kula nguruwe chagua aliyenona.

A

If you want to eat pork, slaughter a fat one.

38
Q

Ukitaja nyoka shika fimbo mkononi.

A

If you mention a snake, hold a club in your hand.

Decks in Swahili Class (94):