Lesson 30b: Extra Disease Vocabulary Flashcards Preview

Kiswahili > Lesson 30b: Extra Disease Vocabulary > Flashcards

Flashcards in Lesson 30b: Extra Disease Vocabulary Deck (37):
1

maumivu

pain;hurt

2

kufa

to die

3

sindano

needle

4

dawa

pill/medicine

5

kupima

to examine

6

daktari

doctor

7

daktari wa meno

dentist

8

daktari wa macho

eye doctor

9

pata kitanda

to be admitted

10

tibiwa

to be treated

11

pata nafuu/pona

to get better

12

tibu

treat

13

ugonjwa

illness/sickness/disease

14

gani

which/what

15

Usijali

do not worry

16

Usijali utapona/utapata nafuu.

do not worry, you will get better

17

Kwa nini?

Why?

18

Kwa sababu

because

19

glasi

glass

20

hospitali

hospital

21

kliniki

clinic

22

nesi

nurse

23

maabara

bathroom

24

mgonjwa

patient/sick person

25

kwenda kwa daktari

go to the doctor

26

kwenda hospitali

go to the hospital

27

kunywa dawa

take medicine

28

kuona daktari

see the doctor

29

kupata dawa

to get medicine

30

kuumwa na tumbo/mguu/etc.

to be hurt in the stomach/leg/etc.

31

furaha

happy

32

huzuni

sad

33

Nina furaha/huzuni.

I am happy/sad.

34

Choka

tired

35

Nimechoka

I am tired.

36

Kulia

To cry

37

Mimi ni mgonjwa.

I am sick.

Decks in Kiswahili Class (92):