Lesson 10: Family Flashcards Preview

Swahili > Lesson 10: Family > Flashcards

Flashcards in Lesson 10: Family Deck (48)
Loading flashcards...
1
Q

babu

A

grandfather

2
Q

nyanya

A

grandmother

3
Q

mzazi-wazazi

A

parent-parents

4
Q

baba

A

father

5
Q

baba wa kambo

A

stepfather

6
Q

mama

A

mother

7
Q

mama wa kambo

A

stepmother

8
Q

mke;bibi

A

wife

9
Q

mume

A

husband

10
Q

mtoto

A

child

11
Q

kaka

A

brother

12
Q

dada

A

sister

13
Q

ndugu

A

brother;sister;friend;etc.

14
Q

mzee

A

elder

15
Q

mjomba

A

uncle

16
Q

shangazi

A

aunt

17
Q

mpwa

A

nephew/neice

18
Q

binamu

A

cousin

19
Q

binti

A

daughter

20
Q

mvulana

A

boy

21
Q

msichana

A

girl

22
Q

kijana

A

youth; teenager

23
Q

familia

A

family

24
Q

mkwe

A

in-law

25
Q

mama mkwe; mavyaa

A

mother-in-law

26
Q

baba mkwe; bavyaa

A

father-in-law

27
Q

mkaza; mkaza mwana

A

daughter-in-law

28
Q

shemeji; mwanmu

A

sister-in-law;brother in law

29
Q

wifi

A

sister in law

30
Q

mwanamke

A

woman

31
Q

mwanamume

A

man

32
Q

kifungua mimba

A

first born child

33
Q

kitinda mimba

A

last born child

34
Q

mjukuu

A

grandchild

35
Q

wakewenza

A

co-wives

36
Q

mkubwa;mkuu

A

bigger/older

37
Q

mdogo

A

smaller/younger

38
Q

pekee

A

only

39
Q

tu

A

only/just

40
Q

Una kaka?

A

Do you a brother?

41
Q

Kaka yako anaitwa nani?

A

What’s your brother’s name?

42
Q

Kaka yako anasoma nini?

A

What does your brother study?

43
Q

Kaka yako anaishi wapi?

A

Where does your brother live?

44
Q

Kaka yako ana miaka mingapi?

A

How old is your brother?

45
Q

Kaka yako anapenda chakula gani?

A

What food does your brother like?

46
Q

Kaka yako anasema lugha gani?

A

What languages does your brother speak?

47
Q

Kaka yako anasoma wapi?

A

Where does your brother study?

48
Q

Una kaka wangapi?

A

How many brothers do you have?

Decks in Swahili Class (94):