Lesson 35: Seasons Flashcards Preview

Kiswahili > Lesson 35: Seasons > Flashcards

Flashcards in Lesson 35: Seasons Deck (11):
1

Vuli; mvua chache

fall;autumn

2

kipupwe; baridi kali; baridi sana

winter

3

masika; mvua nyingi

spring

4

kiangazi; joto

summer

5

Huu ni wakati/msimu/majira gani?

Which season is this?

6

Huu ni wakati wa/msimu wa/majira ya kipupwe.

This is the winter season.

7

Wewe unapenda wakati/majira/msimu/ gani?

Which season do you like?

8

Wewe hufanya nini wakati/majira/msimu/ wa joto?

What do you do in the summer?

9

Wewe hupedi wakati/msimu/majira gani?

Which season do you dislike?

10

Kaka/Mama/etc. yako hapendi wakati/msimu/majira gani?

Which season does your brother/mother/etc. dislike?

11

nyakati; majira; misimu

seasons

Decks in Kiswahili Class (92):