KIU H Flashcards Preview

Swahili > KIU H > Flashcards

Flashcards in KIU H Deck (30):
1

The garden is East of Samora St.

Bustani ipo Mashariki ya Barabara ya Samora

2

The garden is South of the bank.

Bustani ipo Kusini ya benki.

3

The garden is West of the hotel.

Bustani ipo Magharibi ya hoteli.

4

The garden is North of the embassy.

Bustani ipo Kaskazini ya ubalozi.

5

In America, Washington DC is located East.

Katika Marekani mji wa Washington DC upo Mashariki.

6

In Tanzania, Mt. Kilimanjaro is located North.

Katika Tanzania, Mlima Kilimanjaro upo Kaskazini.

7

In Tanzania, there are three large lakes.

Katika Tanzania, kuna maziwa makubwa matatu.

8

West of Tanzania, there are the countries of Congo, Burundi and Rwanda.

Magharibi mwa Tanzania, kuna nchi za Congo, Burundi na Rwanda.

9

Where is his book?

Kitabu chake kiko wapi?

10

Where are his books?

Vitabu vyake viko wapi?

11

Where is his teacher?

Mwalimu wake yuko wapi?

12

Where are his teachers?

Walimu wake wako wapi?

13

Where is his car?

Gari lake liko wapi?

14

Where are his cars?

Magari yake yako wapi?

15

The garden is to the right of Samora St.

Bustani ipo kulia wa Barabara ya Samora.

16

I saw myself in the mirror.

Nilijiangalia katika kioo.

17

The child (just) cut himself.

Mtoto amejikata

18

They enjoy watching television.

Wanajifurahisha kuangalia televisheni.

19

I hurt myself when I fell.

Nilijiumiza nilipoanguka.

20

Why are you looking at me?

Kwa nini unaniangalia?

21

He said he will give us a ride to Nairobi.

Alisema atatupa lifti mpaka Nairobi.

22

I will call you tomorrow.

Nitakupigia simu kesho.

23

My friends told me that the food is good.

Rafiki wangu waliniambia kwamba chakula ni kizuri.

24

I was told by my friends that the food is good.

Niliambiwa na rafiki wangu kwamba chakula ni kizuri.

25

This is my wife Sandy. I knew her when we were students at university.

Huyu ni mke wangu, Sandy. Nilimjua tulipokuwa wanafunzi katika chuo kikuu.

26

Next year we will get married.

Mwaka kesho, tutaoana .

27

We will invite our friends to our wedding.

Tutawaalika rafiki wetu katika harusi yetu.

28

It is difficult to get along with Carl because he likes to quarrel.

Ni vigumu kupatana na Carl kwa sababu anapenda kugombana.

29

Yesterday, my children fought with one another.

Jana, watoto wangu walipigana.

30

In Kenya, there are various types of entertainment.

Katika Kenya, kuna burudani za aina mbalimbali.