Edward 8 Flashcards Preview

Swahili > Edward 8 > Flashcards

Flashcards in Edward 8 Deck (22):
1

To warm

Kupasha

2

Lesson

Somo
Masomo

3

Parent

Mzazi
Wazazi

4

Dormitory

Bweni
Mabweni

5

There is a possibility

Kuna uwezekano

6

Maybe, Perhaps

Pengine
Huenda
Labda

7

If

Ikiwa
Kama

8

I would like to eat cheese

Ningependa kula chizi

9

Who would you like to see?

Ungependa kuona nani?

10

You would like to speak with whom?

Ungependa kuongea na nani?

11

Pastor

Mchungazi
Wachungazi

12

To wash

Kuosha

13

To wash face, hands or feet

Kunawa

14

To shower

Kuoga

15

To clean

Kusafisha

16

To celebrate

Kusheherekea

17

Then

Halafu
Kisha

18

After waking up, I showered with hot water

Baada ya kuamka, nilioga maji moto

19

Leftover

Mabaki ya chakula

20

Instead of

Badala ya

21

To worship

Kuabudu

22

We finished already

Tumemaliza tayari
Tumekwisha kumaliza
Tumeshamaliza