KIU D Flashcards Preview

Swahili > KIU D > Flashcards

Flashcards in KIU D Deck (22):
1

What is today's date?

Leo ni tarehe ngapi?

2

When will you take vacation?

Utapata likizo lini?

3

This is which month?

Huu ni mwezi gani?

4

How long will you stay here?

Utakaa hapa kwa muda gani?

5

Next Month

Mwezi Ujao

6

Next Year

Mwaka Ujao

7

After drinking a lot of alcohol, she is drunk.

Baada ya kunywa pombe sana, amelewa.

8

They are angry.

Wamekasirika.

9

I am lost, can you help me?

Nimepotea. Unaweza kunisaidia?

10

She is confused.

Amechanganyikiwa.

11

She is not coming.

Haji.

12

He died last night.

Amekufa jana usiku.

13

What did she ask?

Ameuliza nini?

14

What time will the bus arrive at the station?
It arrives here at noon.

Basi litafika kituoni saa ngapi?
Litafika hapa saa sita kamili.

15

How may I help you?

Nikusaidie namna gani?

16

I have neither coffee nor milk.

Sina kawaha wala maziwa.

17

Seller

Muuzaji

18

Buyer

Mnunuzi

19

Is this the final price?

Hii ni bei ya mwisho?

20

Which date did you arrive?

Ulifika tarehe ngapi?
Ulifika lini?

21

Her shoes have become dirty.

Viatu vyake vimechafuka.

22

The hotel bathrooms are dirty.

Vyoo vya hoteli ni vichafu.