Edward Sep 17 Flashcards Preview

Swahili > Edward Sep 17 > Flashcards

Flashcards in Edward Sep 17 Deck (26):
1

This is indeed the doctor who treated my child for me.

Huyu ndiye daktari aliyenitibia mtoto wangu.
(Prepositional tibu becomes tibia)

2

These patients indeed are ones who will be operated on.

Wagonjwa hawa ndio watakaofanyiwa upasuaji.
(Prepositional i and Passive w)

3

I am indeed the one helping my mother cook in the kitchen.

Mimi ndiye ninayemsaidia mamangu kupika jikoni.

4

That lion is indeed the one who ran after us.

Simba yule ndiye aliyetukimbiza.
Causative z

5

The food that you are eating is indeed the food that we need.

Chakula unachokula ndicho tunachohitaji.

6

These things are indeed the ones that they brought to us.

Vitu hivi ndivyo walivyotuletea.

7

This bread is indeed the one that was baked well.
Okwa passive

Mkate huu ndio uliookwa vizuri.

8

That ball is indeed the one that was expensive when we bought it.

Mpira ule ndio uliokuwa ghali tulipoununua.
Relative infix is o
Object infix is u
Subject infix is u

9

These words are indeed the ones that Jesus said after rising again.

Haya ndiyo maneno aliyosema Yesu baada ya kufufuka.
Aliyoya also correct
Stative verb k
Choka get tired

10

This water is indeed the one that we will drink when we return home.

Maji haya ndiyo tutakayokunywa tutakaporudi nyumbani.

11

That building is indeed the one that was built by this engineer.
Mhandisi
Injinia

Jengo lile ndilo lililojengwa na mhandisi huyu.

12

These are indeed the computers that we will give to the hospital when the time will come.

Hizi ndizo kompyuta tutakazoipa hospitali wakati utakapokuja.

13

That road near the hospital is indeed the one that will take you to kijabe town.
Take from chukua
Take to peleka

Barabara ile karibu na hospitali ndiyo itakayokupeleka mpaka kijiji cha kijabe.

14

These songs are indeed the ones we will sing in the church on Sunday.

Nyimbo hizi ndizo tutakazoimba kanisani jumapili.

15

This is indeed the place where Jesus was born.

Hapa ndipo pahali Yesu alipozaliwa.
Hapa ndipo Yesu alipozaliwa.

16

This is indeed the place where I was.

Hapa ndipo Nilipokuwa.
Huku - this way

17

I am indeed the way, the truth and the life.

Mimi ndimi njia, ukweli na uzima.

18

This is indeed the doctor who treated me.

Huyu ndiye daktari aliyenitibu.

19

This is indeed the book that we needed to buy.

Kitabu hiki ndicho tulichohitaji tununue.

22

This is indeed not the doctor who treated me.

Huyu siye daktari aliyenitibu.

23

Those nurses are not indeed the ones who came with this patient.

Wauguzi wale sio waliokuja na mgonjwa huyu.

24

These fruits are indeed not the ones called oranges.

Matunda haya siyo yanayoitwa machungwa.

24

This is indeed not the word that we need.

Hili silo neno tunalohitaji. ou
Hili ndilo neno tusilohitaji.

24

This is not the pizza that we ordered.

Hii siyo piza tuliyoagiza.

25

This is indeed not the time to play, we need to work.

Huu sio wakati wa kucheza tunahitaji tufanye kazi.

26

Yes

Ndiyo