CS Ch. 3 Flashcards Preview

Swahili > CS Ch. 3 > Flashcards

Flashcards in CS Ch. 3 Deck (20):
1

I called yesterday to reserve a room.

Nilipiga simu jana kuwekesha chumba.

2

I am asking for a room that has a toilet and bath.

Naomba chumba chenye choo na bafu.

3

There is one (room) on the third floor.

Kipo kimoja kwenye ghorofa ya tatu.

4

Is nothing.

Si kitu.

5

A small room will be sufficient. I leave tomorrow.

Chumba kidogo kitafaa. Nitaondoka kesho.

6

Mosquito Net

Chandalua
Vyandalua

7

Brief Letter or Note

Cheti
Vyeti

8

Airport

Kiwanja cha ndege

9

Police Station

Kituo cha Polisi

10

Hippopotamus

Kiboko
Viboko

11

Rhinoceros

Kifaru
Vifaru

12

Young Person

Kijana
Vijana

13

Leader

Kiongozi
Viongozi

14

Blind Person

Kipofu
Vipofu

15

Where is my room?

Chumba changu kiko wapi?

16

Her room was not suitable.

Chumba chake hakikufaa.

17

Where should we sit?

Tukae wapi?

18

Let's sit there near the window.

Tukae pale karibu na dirisha.

19

What food do you (plural) like?

Mnapenda chakula gani?

20

They did not eat fish.
They do not eat fish.

Hawakula samaki.
Hawali samaki.