Edward Oct 1 Flashcards Preview

Swahili > Edward Oct 1 > Flashcards

Flashcards in Edward Oct 1 Deck (15):
1

What is the book doing in the kitchen? Indefinite Tense
(Present Tense)

Kitabu chafanya nini jikoni?
(Kitabu kinafanya nini jikoni?)

2

Food (plural) needs salt.
(Food (plural) is needing salt.)

Vyakula vyahitaji chumvi.
(Vyakula vinahitaji chumvi.)

3

The bread needs butter.
(The bread is needing butter.)

Mkate wahitaji siagi.
(Mkate unahitaji siagi.)

4

The balls come from Nairobi.
(The balls are coming from Nairobi.)

Mipira yatoka Nairobi.
(Mipira inatoka Nairobi.)

5

What is the carpet doing outside? Indefinite Tense
(Present Tense)

Mkeka wafanya nini nje?
(Mkeka unafanya nje nini?)

6

The car goes very fast, I don't know why.
(The car is going very fast, I don't know why.)

Gari laenda upesi, sijui kwa nini.
(Gari linaenda upesi, sijui kwa nini.)

7

The buildings are being painted well but slowly. Indefinite Tense
(Present Tense)

Majengo yapakwa rangi vizuri lakini pole pole.
(Majengo yanapakwa rangi vizuri lakini pole pole.)

8

The buildings are being built badly. Indefinite Tense
(Present Tense)

Majengo yajengwa vibaya.
(Majengo yanajengwa vibaya.)

9

The letters need more stamps.
(The letters are needing more stamps.)

Barua zahitaji stampu zaidi.
(Barua zinahitaji stampu zaidi.)

10

House looks good from far away.
(House is looking good from far away.)

Nyumba yaonekana vizuri kutoka mbali.
(Nyumba inaonekana vizuri kutoka mbali.)

11

The song is being sung well and loudly. Indefinite Tense
(Present Tense)

Wimbo waimbwa vizuri na kwa sauti.
(Wimbo unaimbwa vizuri na kwa sauti.)

12

The Bibles are being brought today at 10:30 AM. Indefinite Tense
(Present Tense)

Biblia zaletwa leo saa nne na nusu za asubuhi.
(Biblia zinaletwa leo saa nne na nusu za asubuhi.)

13

Place needs one house and many trees.
(Place is needing one house and many trees.)

Pahali pahitaji nyumba moja na miti mingi.
(Pahali panahitaji nyumba moja na miti mingi.).

14

But it needs 3 houses and one big tree.
(But it is needing 3 houses and one big tree.)

Lakini pahitaji nyumba tatu na mti mmoja mkubwa.
(Lakini panahitaji nyumba tatu na mti mmoja mkubwa.)

15

Talking together brings much happiness to the family.
(Talking together is bringing much happiness to the family.)

Kuongea pamoja kwaleta furaha nyingi katika familia.
(Kuongea pamoja kunaleta furaha nyingi katika familia.)